okey kuna mtu amenitag insta kwenye ac ya kiba, kwakweli kwa kuangalia tu ile clip video ni mbovu mnoo compared tu nusunusu au nobody but me.. Diku nyingine mnavyolalamika mjitahidi kutafuta nafasi kumchana ukweli, watu waliomzunguka inaonekana ni bogus plus anafanya vitu kimasikini show zenyewe kavu hapati za kutosha, bado analipwa pesa kidogo afu anapoteza pesa kufanya vituko vole???
Nimeongea haya sababu najuwa kiba anauwezo wa kutoa kitu bora kama wenzake joh, shetta, mavoko na si kwa utoto anaofanya bora video coz kuchezwa trace haitoshi, coz mwana ilichezwa mara moja kwa wiki ova mpaka unajiuliza walilazimishwa kupokea?? kumbe ni quality