unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Tafuta mwaya tuondokane na huu umasikini waliotukaba nao koo hawa mapupu, hii video huwezi amini ni most awaited video watu wanaingoja kwa hamuuu waanze kufungua nyuzi mia mia, hahaaaaa km nawaona washaandika script zao wanangoja kukosoa tu.
Hahahaha kweli kabisa si umeona hata leo wameamkia humu hahahah, beseni pana, kende na wenzie