Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ok nimekusoma @Ms Lincoln lakni angesema tatzo ni nini sio kuja kututukana mana na mi ningekua najibu matuc yake ingekua balaa. Cwez naheshimu mwanamke yoyote challenges zipo za hapa na pale lkn cwez mtusi

Haya bwana.No hard feelings, ila wewe ulimchora mwenzio sio vizuri.Hujui kiasi gani ulimkera
 
Naona kuna watu washanza kujidanya kuwa kiba atapata nomination za MTV cjui afriamam sio rahisi kisa video hapana me kuna wasanii wa Nigeria nyimbo zao zinapigwa daily MTV n trace ila nomination wengine wamepata Mara moja au wengine hawajawahi kabsa mfano runtown, burna boy, Cynthia Morgan, praiz, solid star n wengineo kuingia international sio kazi raisi kwa kigezo cha video kuna mengi msanii anatakiwa kufanya km ambavyo alifanya diamond alipo pata fursa kufanya kazi n davido alipo enda Nigeria alihakikisha anafanya media tour ktk vituo vikubwa msanii wenu ana safari ndefu sn kigezo kingekuwa video basi ommy dimpoz angekuwa kashapara nomination mda sn coz ndagushima ilikuwa Inapigwa MTV hata wanjera so ngojeani mda wenu bado sn
 
Nilkua cjakusoma mana unaongea sana. Yah tumekutana kwa fake Id kila mtu aheshimu mawazo ya mwenzake japo c lazima. Mana hatujuani ila povu linakutoka kuandika matuc dah take a chill pills ukimaliza. Nakukeraee

Unanikeraaa? Wew kweli kinye.o.
Hatujuani so usinichore. Au yule ni demu wako? Maana huwezi mchora mtu usiyemjua si ndio?? Ila sasa ile haikuwa na mashiko ukiweka yako ukiwa unak.unya uchore na kibamia kilivyoning'inia ingebamba zaidi na pm ingejaa wateja.
Fanya ivyo
 
Unanikeraaa? Wew kweli kinye.o.
Hatujuani so usinichore. Au yule ni demu wako? Maana huwezi mchora mtu usiyemjua si ndio?? Ila sasa ile haikuwa na mashiko ukiweka yako ukiwa unak.unya uchore na kibamia kilivyoning'inia ingebamba zaidi na pm ingejaa wateja.
Fanya ivyo

Nina Mandingo cna kibamia. If u wanna try me come on.. u wll nevr regret
 
Duuu umeanza u shemale tena kwasababu ya kumtetea kiba tu hii hatari sana linda utu na maumbile uliyo pewa na mungu.kama wewe ni wa kulaliwa juu na iwe hvo ya walimwengu yasikuchanganye

Na wewe kama wa kupumuliwa na iwe hivyo ya kiba yasikuchanganye
 
Yani nyie mmechoka sana timu domo, yani mmeona channel o ndio tuzo za kutokea mxyuuuu. Sie hatuchachawi tunawapelekesha hapahapa hom sweet hom

Muulize mwenzako sharcole ndio kasema kiba atachaguliwa tuzo zz chanel O 2015 wakat kituo cha chanel o sahv kimekua local Tv SA kwaio Diamond ndio mtu wa mwisho kuzo tuzo nyingi Chanel O na Cassper Nyovest tumefunga hvo Tz na tuzo hazipo teeeena.
 
Last edited by a moderator:
Eti "cwezi, cna " kweli wew unazile element kama ata s huwezi kusema? Sijui ata kama mtaro unaweza kuruka? Hahahaaaa chezea kutoa upepo wew utaanzaje kuruka?
Uache kunichora chora.
Mimi sio kiba wala ndomo so acha upumbavu. Wanaohusika ni kiba na ndomo na sio cute b nazani umeelewa. Ukijisikia kuchora jichore ukiwa unakunya au chora kibamia chako tuone kama kina market.

Hahahahahah mpe mpe
 
cute b unanitaka hivi hamuwezi kuignore hiyo issue, nimeona page zimesogea nilijua kuna la maana kumbe upumbavu tu,kuna asiyewajua hao kati yenu, mtu akiendelea kutukana namwombea ban pumbav
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom