Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahaaaaaa loh hyo ya vote for stone kiboko.

Alafu mamy kumbe na wew umeblock pm lol nilikuwa nimekuandikia bonge la gazetu kutuma duu mbona nimechokaaa....unaboa bhanaaa mm nimetumia pm ya mume na wew tumia pm ya mume nikutumie bhana maana nitaugua
 
Hahahaaa👌👌 unaona iyo alama? Yaani ndo wanayoitumia siku hizi wananikera yaani ni wanaume suruali tuu
 
Na kweli utaumwa maana umbea huwa unawasha huo!! Teh teh teh
 
Hahahaaa👌👌 unaona iyo alama? Yaani ndo wanayoitumia siku hizi wananikera yaani ni wanaume suruali tuu

Yaani ukishaona tu hiyo alama anaitumia mwanaume basi ujue pana tatizo si bure
 
Alafu mamy kumbe na wew umeblock pm lol nilikuwa nimekuandikia bonge la gazetu kutuma duu mbona nimechokaaa....unaboa bhanaaa mm nimetumia pm ya mume na wew tumia pm ya mume nikutumie bhana maana nitaugua

Jamani uwiiiii umenitamanishaje na hilo gazeti mwenzio ngoja nifanye kitu niipate aisee umbeya nayo fani eti.
 
Yani mkuu huyo asijifanye kusema eti aliuponda mfumo wa kili ila sio kwamba hataki tuzo za kili hiyo sio kweli,yani hapo tafsiri yake ndo ile aliyosema cute b kuwa "haitaji tuzo" maana kama mapungufu ya mfumo yalikuwa tokea zamani pindi yeye alikua anachukua tuzo 7 za Kili tena sio 6 kama za kiba au hakuyaona?,alafu akumbuke uyo Mondi alirusha picha ya kabati la tuzo zake kwa account yake ya Instagram akisema tuzo zimejaa yeye anafikiri tafsiri yake ni nini?..kama sio haitaji nyingine? maana mwenye njaa hatangazi shibe..sasa kuna haja ya kuvote hapo?..na kuna team Mondi alikuwa anasema Mondi hanashida na kura za wanafki kama sisi(TEAMKIBA) tukampe davido tu alafu akawa anasema Mondi akishinda sura zetu tutazweka wapi sie TEAMKIBA,pia yule Kendrick alikuwa analinganisha kabisa eti MONDI=tuzo 25 na KIBA=3(kipindi Kile kabla ya KTMA) alafu anamalizia kusema wao international hawana haja na tuzo local kama zile...sasa kuna haja ya kuvote hapo?
 
Vya kiba kutafsiri hawajambo, dogo shobo sn hata wamtetee vipi ukweli unabaki pale paleeeee, na hata hizi team ambazo wanajidai kuzilalamikia huyohuyo ndio chanzo, ye aseme tu aliona now he has a true competation na anajua ashaharibu basi akajifanya kuzipondea, ni tuzo zipi zisizokuwa na malalamiko??? Basi waanzishe zao zilizo kamilika km wao walivyokamilika.
 
Hodi hodi misukule iliyokimbia shule. Mpigieni kura Diamond mwanamuziki halisi.

we jamaa hivi unaakili timamu wewe huku kwa kingkiba unafuata nn huku huyu ndo msekule sasa co cc halafu hta kule nimeona umetutukana teamkiba sasa ngoja nikucheketue #AbuuDady
 
we jamaa hivi unaakili timamu wewe huku kwa kingkiba unafuata nn huku huyu ndo msekule sasa co cc halafu hta kule nimeona umetutukana teamkiba sasa ngoja nikucheketue #AbuuDady
pwilo she isnt worth it my dear, thats wht they know beta, just ignore it, thats tha beta way to deal with fools, hebu tucheketue kwa raha zetu.
 
Last edited by a moderator:
Tutusa mkuu, kama nyoka wewe ni koboko. Kiumbe mwenye roho mbaya hapa duniani, ni hasara kwa taifa letu kuwa na mtu kama wewe. Bora ungezaliwa Bangladesh uzame baharini.

Shika adabu yako wew kwamba wew unafaida sana? Mimi ni mbaya kuliko ata shetani kama ulikuwa hujui.... una kingine kama unacho sema! Mimi ndo mimi bhana maneno yako hayo ni kama ushuzi yanapita tuuu.
 
we jamaa hivi unaakili timamu wewe huku kwa kingkiba unafuata nn huku huyu ndo msekule sasa co cc halafu hta kule nimeona umetutukana teamkiba sasa ngoja nikucheketue #AbuuDady

Hahahaaaa huyo nae ndo kusinzia gani huko. Nimemwona ata mimi kaniandikia ushenzi nikaamua niulete nimjibie huku
 
Shika adabu yako wew kwamba wew unafaida sana? Mimi ni mbaya kuliko ata shetani kama ulikuwa hujui.... una kingine kama unacho sema! Mimi ndo mimi bhana maneno yako hayo ni kama ushuzi yanapita tuuu.

Haya sasa si unaona, ndio haoooo tulokuwa tunawaongelea mkipishana thought anakimbilia kukuatack na mitusi badala aongelee hoja, hv hapo tena ukikaa kimya si hata malaika anakushangaaa, kazi kuchokonoa watu wakitukanwa eti wote tuna makosa!! Sawa lkn nani kaanza???
Mafiiiiiii ya bata!
 
pwilo she isnt worth it my dear, thats wht they know beta, just ignore it, thats tha beta way to deal with fools, hebu tucheketue kwa raha zetu.

sawa cster ila kule kwenye thread katutukana sana huyu jamaa ila ngoja nimuache kwa heshima yako dada angu #KINGKIBA
 
Last edited by a moderator:

Nadhani pia sio sahihi kusema reaction ya mtu mmoja ni reaction ya kundi zima....Tunatofautiana sana katika namna tunavyotazama mambo...haijalishi ni mshabiki wa nani.....mfano unaweza toa comment ambayo labda chige aka react.....sasa kuchukulia reaction ya chige kama reaction ya kundi zima sio sawa....

Pia naamini hakuna aliye mkamilifu...si diamond...si alikiba...wala si sisi mashabiki
 
Hahahaaaa huyo nae ndo kusinzia gani huko. Nimemwona ata mimi kaniandikia ushenzi nikaamua niulete nimjibie huku

yani hapo ilikuwa kipind hicho anasubiria kurecodiwa nyimbo hadi lina lala halafu analeta jeuri et #teamkiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…