Si ndo tabia yao hao wao zingifuri alivotupa makavu mwanzo wakaona Sawa kweli wakajua katupata vizuri daily kutuanzishia Uzi. Alaaa alipoanzisha Uzi kuhusu domo ndo wakashtuka na kumparamia kuwa mzushi.
Na Uzi wa Jana aisee licha ya ushabiki wanaenda beyond aisee.kumbe alikua anatumwa.
Unajua wangekua wana discus kuhusu Kiba haina shida sasa mambo ya ndomo kwenye Uzi usio muhusu.
Ndo mana wanaenda kutukana kwenye page ya Davido aibu tupu.
Na mengine kujileta pm kujitongozesha sijui ndio strategy walioipanga!!! Tena wakomeeeee, hatutaki wanafiki hapa, unafiki wao hukohukoooo.
Chezeiya unafiki wewe hauishi kamwe. Hachotwi akili mtu hapa na walitegemea mipasho na matusi watasubiri sana. Msanii wetu ni local we respect that.
Ka nawaona uso ulivo washuka walifikiri habari ya shingongo tu ta imindi sana that why I like #TeamKiba jamani mnajielewa sana no matusi wala ni ni wala paniki.
#ForeverAsOneMuchLove :thumbup::thumbup:
#KeepItUpTeamKibaFans .
Uwiii hivi domo kaanza kuitwa ndomo leo??? Hii si tokea anatoka jamani tena na hao hao team yake, mie rafiki yangu ni team yake lkn ndivyo anavyomuitaga hivyo so hata wasimind
Yaan mkuu kabla ya yote ni kwamba ili mziki wetu uendelee lazma tuache unafiki wa kufananisha vitu kwa mfano.
Domo kafanya shoo za nje kibao na kajaza watu sikatai ila nyie mnataka kiba akifanya shoo za nje ajaze kama domo asipojaza mnaanza mara oooh kafanyia sebuleni apo ni wazi mnaendeshwa na uteam na sio nia ya kuinua mziki.
sio lazima anachofanya domo kifanane na anachofanya kiba tuwaache wao ndo wanajua wanafanya nini ila ukisikia kumsaport au kumshauri unamshauri lakini sio kwa kumfananisha na dai.
Unajua hiyo tabia yenu ya kumdharau kiba inawaumiza sana mashabiki wake na ndo maana watu wapo radhi ku vote for Davido not mond. Kwa sababu kiba alivyopata tuzo badala ya kumpongeza mlimdis kuwa nyie level yenu ni intanetional sijui mna tuzo adi mnaumwa ndo kilichofanya fans wa kiba waka move to vote for davido ili domo ajue mziki sio pesa tuu mziki ni pamoja na kuwaheshimu wapenzi wa muziki.
Kwa kweli we have to change mkuu mistake ndogo inaweza sababisha mabalaa mengi sana
Yaani yakija huko yatimue yametumana hayo mamy
Mbona tunatoa ushauri humu we r all 2wen t become to series issue haha bt jokes sometmz. I wish kiba angesikia the way mnavyomwambia amna anayependa wasanii wetu wabaki chini cz thy rep Tz flag out thre.
Hawa fujo ziko damuni, kuvamia kila mahali hata pasipowahusu, kukurupuka tuuu, wazee wa lambojini, teh teh teh teh, acha wakatukane mama thats wht they know beta.
Yaani yakija huko yatimue yametumana hayo mamy
Ni kweli kila kitu kuparamia ka ile siku ya lambogini wakakimbilia kulambisha watu ndimu. Aibu niliona Mimi kumbe huwa wanashindana.
Sasa intaneshino anavotiwa na local tangu lini?? Na wakati tuzo zimejaa!!! Hawaangalii chanzo cha tatizo wanaanza kulaumu watu tu bila mpangilio
Acha nami leo nichangie kidogo. hapo dogo msameheni tu kwa upeo mdogo. Kama kuna possibility ya kukopa na kujenga nyumba kwa nini ujenge kwa kutumia your own cash? kuna mdada humu huwa anadis kwamba watu wanakopa ili kutengeneza video. Kwangu mimi sioni ubaya maana hiyo ni business strategy nzuri tu as laong as umefanya hesabu zako vizuri ukaona una uwezo wa kurudisha mkopo baada ya mauzo
onelove cute b together as one, we shall overcome someday, isn't it?
Hahahaaaaa yaani ile siku nilicheka nusu nipaliwe! Alafu hapohapo kujichetua eti hawashindani!!! Wakati gari feki la kuhongwa liliwatoa povu hatari, na midume imo tu kushadadia, aiseee kweli vile vichwa wanavijua wenyewe, yaani nikakumbuka mbaliiii walivyotuandikiaga magazeti nikawahurumia tu.
Ndo nilishangaa wa international wanalilia kupigiwa tuzo na watu wanao wa dis daily. Kuwa ni wachawi teh teh teh wana mambo hao.
Mhhhhhhhhhhhh huyu ni wewe ati! Haya good luck.
Acha nami leo nichangie kidogo. hapo dogo msameheni tu kwa upeo mdogo. Kama kuna possibility ya kukopa na kujenga nyumba kwa nini ujenge kwa kutumia your own cash? kuna mdada humu huwa anadis kwamba watu wanakopa ili kutengeneza video. Kwangu mimi sioni ubaya maana hiyo ni business strategy nzuri tu as laong as umefanya hesabu zako vizuri ukaona una uwezo wa kurudisha mkopo baada ya mauzo
Tunatakiwa kujua hata wafanyabiashara wakubwa matajiri kama kina mzee Mengi wanaendesha biashara kwa kukopa. La muhimu ni kwamba uwe na sifa za kukopesheka, na uwezo wa kurudisha mkopo. Kujenga na kununua magari ya kifahari kwa own cash kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi hii. Kopa jenga nyumba, cash yako invest kwenye biashara, faida unayopata rudisha mkopo.
Jamani mi huwa nasema hapa kila siku mi sio shabiki wa kiba hata kidogo ila najua kijana anafanya vizuri sana, ngoma yake ya mwana ingefanya vizuri hadi nje now angekuwa kwenye Best New Act MTVMAMA. Sio siri Ningefarijika sana.