Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
And yo writing all this at Kiba's thread, hapo nani sasa kapanik???
Huyo ndo wale wanaovamia page za watu bila sababu kuanzia JF hadi Instagram. Aibu yao ustaarabu zero
And yo writing all this at Kiba's thread, hapo nani sasa kapanik???
Jf ni sheria zisingekuwepo. Ama kweli hawa viumbe wamepaniki. Yani kuna midume dhaifu ikizidiwa hoja inakimbiliaga kuita Mara ma... Sijui nini loh.
Yani na bado Mpaka wataisoma namba matusi hayasaidii kitu ustaarabu ni muhimu.
Hahahaaa leo nimefanikisha kuwareport waalifu wa tatu na wakalimwa ban wote adi muuza njiwa. Wamezoea kubofya kitufe cha report abuse watu tunalimwa ban tuu sasa leo mimi ndo ilikuwa kazi yangu.
Nilikusaidia ujue
Kuna muda wanajisahau wanahisi wako insta, alafu miandiko yao ya humu inafanana kabisaaa na ile inayoporomosha matusi kule, alafu eti wazalendo!! Wazalendo wanaotukana watanzania wenzao!!! Teh teh teh
Daah yaani ile siku duu watu mlikunywa sijui viroba maana huko kuchambana huko wewe na wako na Geneveros na wake duuh nimewavulia kofia sema ujue nini ata yako ilibaki nusu kama ule uzi usingefungwa na wewe ungepelekwa.
Ila mimi nilipigwa ban kwenye uzi mwingine kuna mtu alinitukana na mimi nikamjibu nikapigwa ban yy akaachwa sasa nimekumbuka ngoja nika mreport.
Yani wee acha tu siku ile sema nimejifunza kuepuka malumbano ya kijinga na Ku ignore kabisa upepo mchafu wa siku ile ukanipitia mbaaali na sikua na mood ya kujibishana ujinga.
Mi nimeshakua victim wa kutukwana bila sababu na watu wenye multiple I'd na huwa nawa ignore tu kiroho safi Mpaka nimezoea sasa ivi.
Na bora hukulishuhudia ilikua Uzi wa kiba sasa watu mahasira yao wanaanza kuparamia watu.
Stress zikizidi waliona kuchamba ndo deal ili kupunguza maumivu.
Uzuri wangu nawaelewa vizuri nili ignore tu.
Hahaaaaa@Kidingi umekula maharage ya wapi wewe utulii unaimba tu ngonjera za wivu na chuki na kushushwa. Nyie hamnaga vingine zaidi ya HVO. Pole aiseeee mana naona hali ni tete hilo gazeti si mchezo.
Hebu summarize key point basi.
Hahaaaaa@Kidingi umekula maharage ya wapi wewe utulii unaimba tu ngonjera za wivu na chuki na kushushwa. Nyie hamnaga vingine zaidi ya HVO. Pole aiseeee mana naona hali ni tete hilo gazeti si mchezo.
Hebu summarize key point basi.
And yo writing all this at Kiba's thread, hapo nani sasa kapanik???
Kiba alivyoenda marekari aliwaambia ""i am from diamondplatnumz country"" si unajuwa ndio icon wetu, ndio maana ameamua kumpigia kura mtv kaangalie twitter
hata kuandika hujui. marekari=marekani
Hahahaaaaa! Habari mamii, umepotea