kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
dah hawa team domo ni wavivu sana wakufikiria sasa shetta na ommydimpoz wamefanya collabo na wanigeria Kiba atashindwaje na yeye kufanya hajataka tu mwenyewe ila nigeria sio kimataifa na USA je ? domo kashindwa hata na Mayunga #yoooooooo
Mtaje huyu mnigeria alifanya collabo n ommy dimpoz