Nimekumiss zaidi my peterchoka.
Nilikuwa nasoma tuu mnavyopambana na wazee wa kukurupuka
Chekechaaaa mamy ndo habari ya mujini
yani hawa jamaaa sijui wapoje walibadilisha mpaka code za kiba kwenye ktma lakini hawakufanikiwa sasa wanafungua a/c fake tu kila cku #ROCKSTAR 4000
account fake ya ktma, davido bado wanaponda u-ambassador wa king, ila tunaenda taratibu wataelewa
I will always be Kiba's fan kwakweli, let them do chochote bt King is always the best
Jamani habari zenu?? Nimewamisi sina nishakua mjela jela.
Kazi ile ile
Vote vote vote for davido
Ebu fungua pm yako bwana.
insta pamechafuka jamani King Kiba maintain ur silence King we love u #Ambassador
Ebu fungua pm yako bwana.
Sawa mamy ngoja niwasiliane na invisible
Na mtavote saaaaaaaaaana hadi kwa chris brown kwenye grammy awards huku chibu dangote huyoooooo anazidi tu kupaa anga...
Leo ametoka kushoot video aliyoshirikishwa hukooo South ambapo kichupa kinatoka wiki hii... Kasha kwea pippa yupo Mozambique sahivi kaenda kushoot video nyingine hahaha..
tarehe 3 huyooooo anaanza tour ya mtvmama awards, atakuwa na show ya kibabe saaaaaana pale naija huku mnalinda tembo hahahahaha walahi mtapanick mwaka huu
Mkumbuke tu akimaliza tour ya africa, mwezi wa tisa anaenda marekani kwaajili ya video shoot na mmanyema wa mbele yaaaani tunazo ngoma zenye video tayari yakufanya tuwatapishe kilasiku kwa miaka mitatu mfululizo na bado tunafanya yetu... team dangote oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mkumbuke tu Taifa lishamtambua kuwa icon tunasubiri muamze kumtumia kwenye noti hahaha kama hampendi gademu kufwa for mr. president dr. chibu dangote, Na unapozungumzia tanzania unaongelea Mt. kilimanjaro na Diamond platnumz ,.. taifastars mpira unaendelea tushakalishwa viwili na uganda duuuuh
Naona matusi yamehamia jf sasa!! Duuuh watu wameshikwa pabaya na wamefika pabaya sasa, wababa watu wazima wameamua kujivua nguo ovyo ovyo alafu eti wanalaumu, uwiiiiiiii!!

And yo writing all this at Kiba's thread, hapo nani sasa kapanik???
Naona matusi yamehamia jf sasa!! Duuuh watu wameshikwa pabaya na wamefika pabaya sasa, wababa watu wazima wameamua kujivua nguo ovyo ovyo alafu eti wanalaumu, uwiiiiiiii!!
And its getting worse, watu wanajiita wasafi ila wanamimina mitusi hiyo hatari, duuuuh its a shame kwakweli, lets respects each others choices n decisions, sio lazima tufanane mitazamo au upenzi, ila kufikia hatua ya kuchukiana na kutukanana that much kwakweli hapana