Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,222
Wanatukana sana
Thats what they can do better
Its a shame kwakweli, wengine hata sikuwatarajia, ifikie hatua tuheshimu mwazo ya wenzetu hata kana hukubaliani nayo yapinge in way that haitokushushia hadhi yako, hivyo tu yaani kwani how much daz it cost?? Mtu anakurupuka hukooo na mitusiiii utadhani analipwa(may be)
Kuna thread humu za wanamuziki wote wawili lkn fans wa domo hawakauki kwa uzi wa kiba, wht daz that mean??? Nani anapanik hapo? Nani hajiamini hapo? Nani mchonganishi hapo? Wanawachokonoaaaaa Kibas fans mpka inakera, hivi wakitulia na kila mmoja akasapport wake yangetokea wapi haya???