Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,279
Ebu jifunze kuandika vizuri kwanza. Mwandiko wako hauna tofauti na hao division five wa Instagram wanaotukana hovyo. Tu.
Mamii si ndio hawa hawa, unadhani kuna wapya?
Ebu jifunze kuandika vizuri kwanza. Mwandiko wako hauna tofauti na hao division five wa Instagram wanaotukana hovyo. Tu.
Wewe peleka upashkuna wako kule kwani ni lazima na ni lini domo aliwahi post kiba.
Mamii si ndio hawa hawa, unadhani kuna wapya?
wazee wa fake id
wazee wa fake id
tatizo lao hawataki kuwa wastaarabu, jana kuna uzi alianzisha Dinazarde wa kistaarabu tu lakini wakaanzisha mambo yao
We abou wewe mbona unanirusha roho bwana!
Hapana !! Kiba kijeuri we kwani huoni
Hahahaaaaa!!! Duuu sikuwezi we mtoto
Hivi mnaitaka chekecha video au ?
Ndio tunaitakaaaa
Khaakhaakhaaa Dada unaonaje tuopotezee tu
Atoe new song pamoja na video
Mi sichangii kitu humu cku hizi ushangai ?
Ana mipango kama balal lakini haitimizi tu
Khaakhaakhaaa Dada unaonaje tuopotezee tu
Atoe new song pamoja na video
Yaani tunaupotezeaje sasa kwamfano?
Yaaaahh ingekuwa poa sana coz haters wanangoja kwa ham wadis
Unapochelewa kutoa video unawapa watu nafasi ya kujenga script zao
Usshangae video ikitoka mtu akauliza "mbona maghorofa ya kko hayapo"
Hii pia hupelekea video kutokaa hewani kwa mda mrefu kwasabbu Nina script nyingi kuhusu video ya chekecha
Akitoa ambayo haifanani na script yngu hata moja
Nitaishobokea wiki ya kwanza then nitaipotezea