Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Diamond anawezaje Fanya media tour south Africa yaan anatembelea radio n TV tofauti diz guy iz international kweli aiseee mara merto FM, Mara kaya FM Mara ym FM ooh hadi channel o tv diamond shikamoo

dah we kedrick ww unataabu kwelikweli yani mbona kiba ni balozi halafu domo co balozi wa wildaid sasa mashindano yako unaegemea upande mmoja tu #one8 #Rockstar 4000 presents
 
Kweli Dai kavurugwa, sasa media tour ya nini wakati ngoma zake zilishachuja tangu week ya kwanza ilipotoka? Eti south my foot!!!
Acha afanye kuji boost huyu msanii wa intaneshno. Na bado atatoa nyimbo na zisiwe na jipya.
 
ni hivi nyinyi team domo mkitaka kumshindanisha diamond na alikiba mpaka diamond atimize haya sio mnatuharibia hali ya hewa tu hapa .afanye collabo na msanii mkubwa marekani sasa hapo nigeria mnaita intaneshional #one8 # Rockstar 4000 presents#Ambassador
 
Hahahaaaaaaa! Alafu wanajifarijigi eti kiba sijui nn wakati kutwaaa kumuongekea na kushinda kwenye uzi wake, yaani nawahurumiaga mpaka basi yaani, Kiba atawaumiza sanaaaaa na bado, and they know it.
 
Ali kiba ana tuzo ngapi toka annze kufanya mziki mbona utoi jibu naomba jibu plz
 
et nigeria wanaita intanetional na marekani je? sasa domo anaenda kufanya collabo nigeria wenzake kina davido wizkidayo wanaenda USA #one8 # Ambassador
 
Kweli wazalendo wana mambo, now wanahahaaaa kumtafutia Kiba baya ili aonekene mbaya ila waaaapi ndio kwanza wanazidi kujichafua na kujidhalilisha, mtoto wa watu hana habari anafanya yake tu like no body's business, chezea mr. Ambassador!!!
#iheartkiba

Kampeni utaanza lini? Kwenu Zenji hukubaliki?
 
Ali kiba ana tuzo ngapi toka annze kufanya mziki mbona utoi jibu naomba jibu plz

nyingi saana kawashinda hadi kina beyonce na akon #one8 #Rockstar 4000 presents#Ambassador
 
Attachments

  • 1434740512496.jpg
    1434740512496.jpg
    55 KB · Views: 50
nyingi saana kawashinda hadi kina beyonce na akon #one8 #Rockstar 4000 presents#Ambassador

Zipo wapi 😱 me najua kwny kabati lake ana 8 tu tena za ktma ivi n Ali k ndo alimuibiga diamond tuzo moja nn ya ktma
 
Kweli Dai kavurugwa, sasa media tour ya nini wakati ngoma zake zilishachuja tangu week ya kwanza ilipotoka? Eti south my foot!!!
Shardcole why bouther!! She aint worth yo time even yo explanations, just ignore her as usual, let her heal her pain in her own way.
 
Last edited by a moderator:
dah we kedrick ww unataabu kwelikweli yani mbona kiba ni balozi halafu domo co balozi wa wildaid sasa mashindano yako unaegemea upande mmoja tu #one8 #Rockstar 4000 presents
pwilo let her go plz, she is just healing, you know
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa! Alafu wanajifarijigi eti kiba sijui nn wakati kutwaaa kumuongekea na kushinda kwenye uzi wake, yaani nawahurumiaga mpaka basi yaani, Kiba atawaumiza sanaaaaa na bado, and they know it.

Kiba next level na akitoa wimbo una hit mda mrefu tofauti na huyo wa intaneshno wimbo unakua ka bablishi.
Kiba kashawaumiza tayari Mpaka wanataftana wamepoteza network.
 
nyingi saana kawashinda hadi kina beyonce na akon #one8 #Rockstar 4000 presents#Ambassador

Au izo tuzo za maandishi tuna picha za tuzo acha maneneo n projo izo hata mie naweza ingia net nikaandika article umesahau nomination ya bet kule kwa kina Beyonce mond aka hojiwa n mupenzi ya zaman ya Chris brown
 
Kiba next level na akitoa wimbo una hit mda mrefu tofauti na huyo wa intaneshno wimbo unakua ka bablishi.
Kiba kashawaumiza tayari Mpaka wanataftana wamepoteza network.

Na hakuna kitu kinawatesa kama hiki, hebu jaribu kusikiliza nyimbo za kiba zoooote, yaani haziishi utamu, ni kama kazitoa leo tu, jamaa sasa duuuh hadi huruma, atahangaika sana na colabo cjui tour ila anatakiwa atambue kuwa muziki wake ndio unatakiwa ujitangaze not that worthless energy of his, kizuri kinajiuza jamani.
 
Anatarajia mtoto vp anawalea watoto wke au watoto hawapati malezi ya baba anywhere twende kwny mziki Diamond ana tuzo 24+ toka anze kufanya mziki Ali kiba je

sawa hata awe na tunzo 50 je ni za kwake ye mwenyewe au baada ya kufanya collabo nadavido tuzo zote za kiba ni za kwake co huyo domo mpaka amshirikishe iyanya #one8 #Ambassador
 
Zipo za kwake kwan ktma zile 7 si ilichukua number one original version VP za channel 0 3 ilichukua number one original version
 
Back
Top Bottom