Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

@ms Lincoln hii hapa
 
Attachments

  • wp_ss_20150619_0003.png
    wp_ss_20150619_0003.png
    131.8 KB · Views: 118
@ms Lincoln hii hapa

Nikitu kimoja tu. Kutofollow msanii mwenzake hata mmoja ndio kunasababisha watu kuto mpost yan very bad idea nani sijui alimshauri. Kwa sababu umpost Kiba wanini wakat hajakufollow it means hataona hata picha yko wala uliyompost. Ndio mana ilibidi amuombe Wema ampost lkn Wema kwa hiari yke walaaa asingejisumbua kumpost Kiba cz haina maana. Yan artist wana muignore kwenye social media kama haexist vile
 
wamesema atapostiwa na tanapa hhhhhaaaaaa
 
😀😀😀😀😀😀😀😀 mkuu umeuwa hapo duuu lakini mtoto hana #Rockstar 4000 presents

Anafatilia uzazi wa mpango" sio kuzaa ovyo ovyo kama jamaa flani. ila soon anapata a daughter atakua mtt wa taifa yani huyo ata uwe shimoni utaskia kua mtt wa mondi kazaliwa kwaio uspate shida"
 
Najua Nilianza kumckia davido n kumkubali kabla ww mda sn kipindi npo chuo mwaka 2011 n wimbo wke dami duro akaja ekuro n oversees ila washikaji wng wengi walikuwa hawamjui hata watz wengi najua mlikuwa hamjui okey sikatai diamond kambeba davido west ila pia diamond ndo kafanya davido ajulikane east Africa n vilaza km ww usiojua mziki n wenzako halafu pia ile collabo diamond alimlipa ela haikuwa bure

yani huoni aibu kudanganya watz wewe,davido kajulikana sana hapa tz na ile ngoma yake ya SKELEWU kabla ya kufanya remix ya platnmz.
 
yani huoni aibu kudanganya watz wewe,davido kajulikana sana hapa tz na ile ngoma yake ya SKELEWU kabla ya kufanya remix ya platnmz.

Skelewu c ilianza kupigwa sn n clouds wakati davido alivyo kuja fiesta bila ivyo mshamba km we ungemjuaje
 
jamani jamani kiba hataki viewers wala hashindani na mtu sasa akichelewa kutoa video haina shida kwani shikorobo c ilitoka na video mbona pia viewers wao ni wachache ukipendwa unapendwa tu #Rockstar 4000 presents
 
Jamani nipo kwenye uzi sahihi??? Maana nahis kama niko kwenye uzi wa diamond special thread au?? Hahahahahahah yani watu wachovu wanakuja kumdiskas kiba kwenye nyumba yake mwenyewe hahahhahaha kweli domo na mikia yake wote hawajiamini
 
Anafatilia uzazi wa mpango" sio kuzaa ovyo ovyo kama jamaa flani. ila soon anapata a daughter atakua mtt wa taifa yani huyo ata uwe shimoni utaskia kua mtt wa mondi kazaliwa kwaio uspate shida"

Mtoto wa taifa au wa katunzi??? Hahahahahha mwaka huu lazima mlee mtoto wa mwenzenu kwa kuficha aibu
 
Skelewu c ilianza kupigwa sn n clouds wakati davido alivyo kuja fiesta bila ivyo mshamba km we ungemjuaje

Yani we ndo mbwiga sana unajifanya mjanja kumbe mburula tu, davido anajutaje kuwabeba wafuga njiwa!!!! Sasa mmegeuza nyie ndo mmemtangaza duh. Anajutaje kupokea hela mliyomlipa kwen kolabo.
 
Back
Top Bottom