Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hili domo ni la kufanyia surgery tu ndio solution dress maker kila akijitahidi hapo anashindwa tu asemeje na mpunga wameshavuta, wazungu wabaya hawa!

Yani hilo la surgery utafikiri ulikua akilini mwangu kabisa na hyo ndo only solution hapo hata apakwe nini inakua sifuri tu.
Hahaaa huyo anayempaka ana mchora tu hapo.
 
Au izo tuzo za maandishi tuna picha za tuzo acha maneneo n projo izo hata mie naweza ingia net nikaandika article umesahau nomination ya bet kule kwa kina Beyonce mond aka hojiwa n mupenzi ya zaman ya Chris brown

kama ni editing hiyo edit na ww tuone #one8 project
 
Toka kitambo tulianza kupata nomination za kimataifa before ya davido unakumbuka wimbo wa mbagala ulimfanya diamond aiigii kwny best upcoming MTV awards
 
et nigeria wanaita intanetional na marekani je? sasa domo anaenda kufanya collabo nigeria wenzake kina davido wizkidayo wanaenda USA #one8 # Ambassador

Hamna international ya Africa waende outside the continent tuone. Wizkid na Davido ni next level kabisa. Na siku akifanya collabo la nje hiyo promo sasa.
Ay yeye kashafanya na wasanii wa nje ya USA.
 
kweli mkuu yani kumuelewesha kedrick ni ngumu kuliko kumfundisha mzungu kiswahili ngoja nimuache na maumivu ya Kiba Music Awards #Rockstar 4000 presents# Ambassador

Unampa kik asostahili hata theluthi, ni kumuacha ajifarijiii then asepe zake, maumivualonayo yanamtosha
 
Zipo za kwake kwan ktma zile 7 si ilichukua number one original version VP za channel 0 3 ilichukua number one original version

we hivi unafuatilia kweli mziki ww hebu ngoja nikuache mana huelewi hata unazungumza nn #Rockstar 4000 presents
 
We ndo ujui mziki km ujui basi jua channel o diamond alishnda kupitia original version ya number one n tuzo niliona mie
 
Toka kitambo tulianza kupata nomination za kimataifa before ya davido unakumbuka wimbo wa mbagala ulimfanya diamond aiigii kwny best upcoming MTV awards

😀😀😀😀😀😀😀 labda za Tandale usiku mwema bwana mana ww unasema unachojiskia tuuu kwaheri #one8 project $Ambassador
 
Yaani huyu jamaa bhana, madili yake ya ajabu ajabu yakifeli ndo kutolea stress humu, mara auze njiwa, mara auze simu, mara anunue coins duh! Noma sana
 
Hamna international ya Africa waende outside the continent tuone. Wizkid na Davido ni next level kabisa. Na siku akifanya collabo la nje hiyo promo sasa.
Ay yeye kashafanya na wasanii wa nje ya USA.

hiyo ndo tofauti ya diamond na wasanii wenzake yani anapenda sifaa sanaa et anatuwakilisha kimataifa na AY asemeje sasa nigeria et ni kimataifa #pop it in Ambassador voice
 
Unampa kik asostahili hata theluthi, ni kumuacha ajifarijiii then asepe zake, maumivualonayo yanamtosha

dah kweli huyu katoroka mirembe huyu ngoja nimuache aende officiallalikiba
 
Last edited by a moderator:
😀😀😀😀😀😀😀 labda za Tandale usiku mwema bwana mana ww unasema unachojiskia tuuu kwaheri #one8 project $Ambassador

Ulikuwa ujui kumbe chukua iyo km breaking news n tuzo alishindaga mo chedah n kitambo ila cjui km hata kipindi icho ulikuwa una fatilia mziki maana
 
Yaani huyu jamaa bhana, madili yake ya ajabu ajabu yakifeli ndo kutolea stress humu, mara auze njiwa, mara auze simu, mara anunue coins duh! Noma sana

Iyo inaitwa ujasirimali mwanamme n kuchachrika mjini hapa 😀😀😀😀😀
 
Yaani huyu jamaa bhana, madili yake ya ajabu ajabu yakifeli ndo kutolea stress humu, mara auze njiwa, mara auze simu, mara anunue coins duh! Noma sana

Sasa ww kubwa zima unaishi kwa wazazi wko jina tu unitwa peter choka icje ukachange ukaitwa choko😀😀😀😀 from choka to choko real quick
 
dah hawa team domo ni wavivu sana wakufikiria sasa shetta na ommydimpoz wamefanya collabo na wanigeria Kiba atashindwaje na yeye kufanya hajataka tu mwenyewe ila nigeria sio kimataifa na USA je ? domo kashindwa hata na Mayunga #yoooooooo
 
Back
Top Bottom