Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ha ha ha ha umeua

Wa intaneshino hana haja walaa na hizo tuzo zenu za local ndio maana hata hizo mbili mlizojipendekeza kumpa walaaa hajashukuru, dogo ana nyodo yule khaaaaaa!! Viranga viwaishe, sasa si ahame nchi.
 
Wa intaneshino hana haja walaa na hizo tuzo zenu za local ndio maana hata hizo mbili mlizojipendekeza kumpa walaaa hajashukuru, dogo ana nyodo yule khaaaaaa!! Viranga viwaishe, sasa si ahame nchi.

aha ha ha ha jaman hahahh duh
 
Hahahaaaa!! Nyokolo yule sijui tunakula kwake!!! Ye walet imejaa ila masikini Kiba anamhenyesha hatari, tatizo ashazoea maisha ya geto huyo mr getoman anadhani wote vimeo kama yeye.

hahahaaaa yaani watu wanafurahisha sana......now wamehamia kwenye outlook na wallet duuh kazi wanayo!
 
Jamani wapi kende aka kendrick au yupo south anasonga ugali. Au kafuata njiwa nanjilinji
 
Mimi nimeamuwa kuwa msomaji tu na kucheka tu.

Hahahaaaa!! We soma tu ila usisahau vanessa anahitaji kura yako, huku sie tunaendelea kucheketua tuuuu, kiuno kinaniuma now, ngoja nijikumbushe lile dance la mwana
 
Ile link yao ya KTM ya Le mtumboz na matumbo wameishia wapi? Maana bado wapo ndotoni wamepigwa hat trick, msomeni Ostaz Juma facebook muweke hapa screenshort.

Jamani mliopo fb plz do the needfull, wale wanaugulia tu hukoo, watupishe tucheketue sie
 
Kuna jamaa kasema hivi lakini sio mimi jamani..Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba. Barnaba anayetunga nyimbo zake, za Vanessa Mdee zote nyimbo zaTHT pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby anapitwa na mtunzi wa Cheketua.

Ally Kiba kuwa mtumbuizaji bora mbele ya Diamond Kitu ambacho hata kipofu anaona Diamond is the best performer.

Ally Kiba kuwa mwanamuziki bora wa kiume kwa mwaka 2014. Mbele ya mshindi wa tunzo za channel o 3 kwa mwaka 2014.

Nominee wa Bet na Mtv, mwanamuziki aliyejaza kwenye maonyesho kushinda wote kwa mwaka 2014, mwanamuziki aliyechuma pesa nyingi zaidi mwaka 2014, Mwanamuziki aliyetajwa zaidi kwenye Vyombo vya Habari vya kimataifa na kitaifa.

Mwanamuziki anayeongoza kwa nyimbo zake kuangaliwa Youtube na vituo vya kitaifa na kimataifa, Mwanamuziki ambaye nyimbo zake (audio)zimekaa kwenye chati za kitaifa na kimataifa kushinda Yeyote yule Tanzania.

Narudia Tena nimechek sana yaani, maana kuna vitu wanasema res ipsa yaani . A thing speaks by itself... hata kama kulazimisha kumpandisha mtu au kutengeneza equilibrium huku sasa kumezidi. Hamna haja ya kulaumu mtu yeyote cuz ni desturi ya wabongo kulazimisha kumshusha aliye juu.

The weird part ni kwamba alikiba ni mwanaume.

Why anafanyiwa women empowerment.

sasa mkuu kwa vigezo vyote ulivyovitaja hapo hakuna hata kigezo kimoja domo anachomshinda davido au wizkidayo kwa hiyo wawape tu hao wangetumia vigezo hivyo hata domo asingekuwa nominoted kwenye MTV awards
 
sasa mkuu kwa vigezo vyote ulivyovitaja hapo hakuna hata kigezo kimoja domo anachomshinda davido au wizkidayo kwa hiyo wawape tu hao wangetumia vigezo hivyo hata domo asingekuwa nominoted kwenye MTV awards

Teh teh teh, wenzio wanaona maborit ya kwenye macho ya wenzao tuuuuuuuuu!!
 
Mkuu ngoja nikusahihishe,

Diamond hakutumia tuzo za KTMA kutoka nje ya TZ na AFRICA.
Ni kumshushia hadhi PLATNUMZ kusema eti amewahi tegemea tuzo.

Ivi kinachoanza ni nini kati ya kazi na tuzo?

Diamond alitumia fursa alipokuja DAVIDO fiesta mwaka juzi wakafanya remix ya MY NUMBER ONE.,kabla hata ya hzo tuzo and the rest is history .

Sasa ni masikitiko makubwa kwa team kiba na management yake kuwa na akili kama hzo.

BYE.

mwambie domo akamuombe msamaha davido la sivyo atarudi tandale akaokote makopo kiba mziki ukimshinda ataenda AZAM SIMBA AU TP MAZEMBE mana anajua mpira kuliko kuimba PAPIREEEEE
 
Back
Top Bottom