Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mtunzi bora ni Yule anayetunga nyimbo zanye ubora na tamu. B boy kafanya hivyo 2014

B boy hufanya hvyo kila mwaka sio tu 2014

Cha ajabu mwaka huu ndio mumemshikia bango

Vipi kuhusu miaka iliyopita waliochukua utunzi bora mbele yake walistahili?
 
B boy hufanya hvyo kila mwaka sio tu 2014

Cha ajabu mwaka huu ndio mumemshikia bango

Vipi kuhusu miaka iliyopita waliochukua utunzi bora mbele yake walistahili?

Mkuu naomba iyo picha kwenye avata yako nimeona kama ni ali kiba. Nataka nikawawekee majirani zetu kwenye uzi wao
 
Mkuu naomba iyo picha kwenye avata yako nimeona kama ni ali kiba. Nataka nikawawekee majirani zetu kwenye uzi wao

Khaakhaakhaa
 

Attachments

  • 1434362024524.jpg
    1434362024524.jpg
    11.2 KB · Views: 72
View attachment 260201
View attachment 260202
Aya kumekucha wale watu wa sensa naomba watuhesabie watu hapo sebuleni na KTMA wanapendelea mpaka Dallas uko.
cc😡nifah do the needfull wengine sisi waoga katuulizie kwa jirani.

Hahahahaaa, mkuu kwani unadhani yuko mbali? Huyu hapa mhusika mkuu.
↓↓↓↓
Aisee mbona mtaumaliza mji kwa kuchukia kila mtu kubalini nyie vidada mna tatizo la kisaikolojia. Jikubalini even if outlook ni mbaya na wallet zenu hazisomi.

Wewe chizi kweli yaani! Aliyekuambia outlook zetu ni mbaya ni nani? Hivi kwanini mnapenda kujitoa fahamu kwa kujidai watabiri mashuhuri? Mtu anatumia fake id wewe unasema outlook yake ni mbaya umejuaje? Huu ni uwendawazimu!
 
Mbona unamkalia nifah kooni?
Stop being too personal, its bad for your health.
Mimi nawewe ni mashabiki tu.
Mnakazana sisi tunamchukia dai kisa sio mashabiki zake.
Sisi wachawi, maskini, hatuna akili wapuuzi, wajinga, sio wazalendo na ni wa kupigwa na kila tusi weka hapo....
Ila guess what!, HATUBADILIKI !

Afadhali umenisaidia kumuuliza.Huyu mtu aseme tu anataka nini maana sio kwa kunikamia huku.
Kila uzi yuko na mimi, kila comment ananiquote...khaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Kwahyo kuwatungia watu ndio kunafanya uwe mtunz bora

Tatizo sio kuwatungia watu, katunga nini?
Wimbo gani aliotunga Barnaba wa kufananishwa na mwana? Hasa katika kipengele cha maudhui?
Watu hawaoni aibu kufananisha wimbo wa Mwana kimaudhui na wahalade+ na yule? Hata huyo Vanessa kaimba wimbo gani wa kuifunza jamii zaidi ya burudani tu?
Wakati mwingine ni aibu kubishania kitu kilichokua wazi kama hiki.
Halafu ndio watu wanaojiita wana AKILI KUBWA!
 
Hahahahaaa, waoneeni huruma wenzenu jamani wako likizo!

Nakula nao saani moja mpaka hii wiki iishe.
Uzuri ni kwamba wakitukana na mimi matusi nayaweza. Wakichamba mimi ndio fundi yaani mimi ndio cute b bhaaanaaaaaaaaaaaa
 
Mtunzi bora ni Yule anayetunga nyimbo zanye ubora na tamu. B boy kafanya hivyo 2014

Mwaka huu tu ndio Barnaba Boy anaonekana mtunzi bora kisa kachukua Ally K kule nyuma utunzi wake haukua na maana duh wabongo sisi pasua kichwa na tunawahi kusahau.
 
Back
Top Bottom