Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mbona unamkalia nifah kooni?
Stop being too personal, its bad for your health.
Mimi nawewe ni mashabiki tu.
Mnakazana sisi tunamchukia dai kisa sio mashabiki zake.
Sisi wachawi, maskini, hatuna akili wapuuzi, wajinga, sio wazalendo na ni wa kupigwa na kila tusi weka hapo....
Ila guess what!, HATUBADILIKI !

Wao wenye pesa,roho nzuri,wajanja,wazalendo,wenye akili nk Kiba anawaumiza nini? Kiba ni mwanamziki wa Kongo sio??? Why wanamchukia na kumtusi kila kukicha?? Nyambafu zao na wajipitishe hukooo, wanamchukia Kiba ila hawakauki midomoni mtoto wa watu hawamtakii jema kila hatua anayopiga wanatumia juhudi wamuangushe, na hawatoweza kama Mungu kapanga basi wanajisumbua, kujifanya miungu watu, chefuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Yatawatoka sanaaaaaaaa mwaka huuu na bado!!! Tuzo za Kiba zitawatoa roho mnooooo, mtunzi bora haimaanishi umetunga nyimbo nyingi, waweza tunga nyimbo 100 ila wa Kiba mmoja tu ukafunika nyimbo zako zoooote, so nyie mtapetape weeee ila ukweli hata mioyo yenu inajua mwajifanya kupinga tu!! Kiba is the best(ni watanzania waliosema) sasa kama wewe sio mtanzania bishaaaaaaa!!a teh teh teh, rahaaaaaa
 
B boy hufanya hvyo kila mwaka sio tu 2014

Cha ajabu mwaka huu ndio mumemshikia bango

Vipi kuhusu miaka iliyopita waliochukua utunzi bora mbele yake walistahili?

Hao ni sikio la kufa mdogo wangu hataaa si wa kujibizana nao, wao kila atakachofanya Kiba ni kibaya so ni sawa na kusubiri meli airport
 
Yatawatoka sanaaaaaaaa mwaka huuu na bado!!! Tuzo za Kiba zitawatoa roho mnooooo, mtunzi bora haimaanishi umetunga nyimbo nyingi, waweza tunga nyimbo 100 ila wa Kiba mmoja tu ukafunika nyimbo zako zoooote, so nyie mtapetape weeee ila ukweli hata mioyo yenu inajua mwajifanya kupinga tu!! Kiba is the best(ni watanzania waliosema) sasa kama wewe sio mtanzania bishaaaaaaa!!a teh teh teh, rahaaaaaa

Shoga naona na wew umekuja kuwapa maembe mabichi. nifah na Ms.Lincoln tangu juzi hawawapumzishi wenzao ni dozi tuu zinatembea.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu tu ndio Barnaba Boy anaonekana mtunzi bora kisa kachukua Ally K kule nyuma utunzi wake haukua na maana duh wabongo sisi pasua kichwa na tunawahi kusahau.

Yaani nisaidie kushangaa!! Kiba sijui aliwafanya nini hawa watu mpaka wamchukie kiasi hiki!! Khaaaaa sio kwa chuki hizi jamani alafu ndio wanajifanya ni wazalendo na wanataka kuupandisha muxiki wa bongo!! Kwa mtindo huu, kwa chuki hizi!! Bora tu huu muziki uendelee kuwa local maana huyu(na wengine wachache) ambae ndio anaimba bongo flavour ya ukweli(isiyochakachuliwa na usouth na uwest) ndio wanamkandamiza hivi!!!
 
Shoga naona na wew umekuja kuwapa maembe mabichi. nifah na Ms.Lincoln tangu juzi hawawapumzishi wenzao ni dozi tuu zinatembea.

Wanajitoa ufahamu mnoo, hii mitoto ilojua mziki juzi hata hawajui nini mama ya "mtunzi bora" wanadhani mtunzi bora ni yule anayetunga nyimbo rundo!!! Ovyooooo!
 
Last edited by a moderator:
Shoga naona na wew umekuja kuwapa maembe mabichi. nifah na Ms.Lincoln tangu juzi hawawapumzishi wenzao ni dozi tuu zinatembea.

Yaani cute b navutia picha hizo tuzo za Kiba ndio ingekuwa ndomo kazichukua sijui tungeziweka wapi hizi "outklook zetu mbovu", akina dada kedrick wangetuchafulia hali ya hewa humu balaa, nifah na @ms.lincolin na out look zenu mbovuu mumo tuuu, waone vile!!
 
Yaani tungetobolewa vidole machoni.
Ndo maana mamy nawachokoza sana leo.
Umeona na mimi avatar yangu?
 
Last edited by a moderator:
Yaani tungetobolewa vidole machoni.
Ndo maana mamy nawachokoza sana leo.
Umeona na mimi avatar yangu?

Waaaoh nimeiona mama, unajua mie celebrity naingiaga mara chache mnoo na kilichoniletaga ni Kiba, jana nimeingia kidogo tu nikakutana na rundo la nyuzi zote zikiongelea tuzo za kiba akuu nikajipitia nikaondoka nilifungua cjui mbili tu, sijakwenda huko tena, Kiba kweli kawashika watu pabaya.
 
Mamy vote for davido plz tuhakikishe domo haambulii kitu
 
Mtunzi bora ni Yule anayetunga nyimbo zanye ubora na tamu. B boy kafanya hivyo 2014

teh! leo ndio mnamuona barnaba?
Some people buana!!

Ninachowasihi ni muendelee kuomba usiku na mchana ili kiba asije akanominetiwa kwenye hizo tuzo za nje maana wakikosea tu wakafanya hivyo........hahahaaa mtaunguzwa hadi visigino wallah!!!
 
Wanajitoa ufahamu mnoo, hii mitoto ilojua mziki juzi hata hawajui nini mama ya "mtunzi bora" wanadhani mtunzi bora ni yule anayetunga nyimbo rundo!!! Ovyooooo!

Na outlook yako mbovu umoooo tuuu!!!!
Na wallet yako haisomi umekomaa tuuu!!! heheh (in mr gentomanz vois)
 
Yaani cute b navutia picha hizo tuzo za Kiba ndio ingekuwa ndomo kazichukua sijui tungeziweka wapi hizi "outklook zetu mbovu", akina dada kedrick wangetuchafulia hali ya hewa humu balaa, nifah na @ms.lincolin na out look zenu mbovuu mumo tuuu, waone vile!!

Yani ningechonga mask kuficha hii outlook yangu mbovu!
Chezea outlook na cheo cha uchawi weweee!
Naomba mnivike cheo chaumakia wa uchawi maana sio kwa kuwanga hukuuu kaaa!
Kama sisi wabaya yule kimada wa salehe ana sura gani?
Mxiiiu
 
Last edited by a moderator:
Na outlook yako mbovu umoooo tuuu!!!!
Na wallet yako haisomi umekomaa tuuu!!! heheh (in mr gentomanz vois)

Hahahaaaa!! Nyokolo yule sijui tunakula kwake!!! Ye walet imejaa ila masikini Kiba anamhenyesha hatari, tatizo ashazoea maisha ya geto huyo mr getoman anadhani wote vimeo kama yeye.
 
Yani ningechonga mask kuficha hii outlook yangu mbovu!
Chezea outlook na cheo cha uchawi weweee!
Naomba mnivike cheo chaumakia wa uchawi maana sio kwa kuwanga hukuuu kaaa!
Kama sisi wabaya yule kimada wa salehe ana sura gani?
Mxiiiu

Hahahaaaa! Mchawi mkubwa wewe unawanga hadi mchana muone!! Hivi uliwahi kugongana nao na ungo angan nini alafu ungo wako ukawa na nguvu?? Kimada na mwanae nao sijui wako kundi gani, kwi kwi kwi kwiiiiii
 
Back
Top Bottom