Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hata huyo bibi yake Zari anamharibia kabisa.Sio kwa ile post ya jana kabisa...
Ngoja na tuone.

Yani yuko comfortable tatizo bibi anapenda kiki mno. Kilicho mfanya apost vile nini? Ndo wanaomdaganya za nyumbani sio tuzo yeye ni international recognised. At the end of the day diamond ndo anayepata stress.
Na wabongo wengi dharau hawapendi loh!
Only time will tell us.
 
Mwenzangu I feel sorry for him. Yani ukiwa na roho nyepesi una ugua kabisa na ile picha waliyo piga kwenye sofa na bibie yuko normal ila dai hana furaha kabisa hadi nikaona huruma.
Team yake na matusi ndo wanazidi kuharibu kabisa.

Yaani anajikaza tu kiume ila maumivu anayasikilizia, uso umepoteza nuru kabisaaa, anajipooza tu, cjui akikosa hizo tuzo atapika makande siku hiyo!!
 
Na anajikaza tu kiume aisee hakukua na haja ya kupost ile picha. Yuko so stressed mno hadi kweli USO umepoteza u shine wake.
Acha ajifunze timu yake ina matusi ya hatari. Ndo wajifunze kupitia makosa.Nikikumbuka wanavo mnanga Kiba kwa matusi yote wakome kabisa.
 
Wanavyomtusi Kiba walaa hawaoni, yetu tu ndio wanayaona, kiruuuuuuu, na bado huo mwanzo tu
 
Eti Kiba hafikirii kwenda international yeye ana zaa zaaa tu ndo ajuavyo.
Wanawake wote alio wa date ni makombo loh.
Nimeamini ukimya ni hekima kauli za kuwachamba mashabiki zimemtokea puani.
 
Acha azae bwana si uwezo wa kumimbisha anao!!! Huyo ndomo alidate bikira yupi!! Chefuuuu, intaneshino my foot, hili soko la ndani tu linatutosha kwanza, maana kwenda intaneshino bila kuwa na identity nayo majanga, hapo tunauendeleza muziki wetu au muziki wa watu!!
 
Bora azae tena aongeze kutimiza kusudi la Mungu kuijaza duniani.
Ndo nashangaa huyu domo tena kwa Zari ana three kids hapo si shida tupu.
Hata la ndani muhimu huwezi kujisifu Wa international kwa kupiga mziki unaofanana na wa kinaijeria au South Africa.
Mziki mzuri ni wa style ya nyumbani basi.
 
Hadi P2 waliliona hilo wakamwambia ila bado sikio la kufa, tukisema tunaambiwa haters,basi acha na tuhate unapoongelea kupeleka "muziki wetu" inter-national lazima tuwe makini ni muziki gani tunaupeleka, sio tunakurupuka tu ilimradi nigeria watujue!! Then hata wao wanabaki kushaa "hawa nao mbona wanaimba muziki wetu"!!
 
Nilimuona tu usoni wakati anapika ugali wake na Zari yani ana stress za kufa mtu hana furaha kabisa. Pole yake sasa aanze kupika kauzu atie na ndimu.

Hahahaha kiba ana roho mbaya jamani, yani kamfanya mwenzake Chibu apike ugaki usiku teteteh walah alafu ugali wa usiku haupandi kabisa,
 
Hadi P2 waliliona hilo wakamwambia ila bado sikio la kufa, tukisema tunaambiwa haters,basi acha na tuhate unapoongelea kupeleka "muziki wetu" inter-national lazima tuwe makini ni muziki gani tunaupeleka, sio tunakurupuka tu ilimradi nigeria watujue!! Then hata wao wanabaki kushaa "hawa nao mbona wanaimba muziki wetu"!!

Naona leo umenitowa ushamba kumbe Psquare ni P & P?
 
Hahahaha kiba ana roho mbaya jamani, yani kamfanya mwenzake Chibu apike ugaki usiku teteteh walah alafu ugali wa usiku haupandi kabisa,

Si ndio hapo sasa cha kujiotesha unatumbukia kwenye shimo lisilo na mwisho nn!! Kumbe ni ugali wa usiku
 
Peter n Paul si ndio hivyo!

Najuwa Square ila sijawahi kufuatiliaga hilo.

Nimewafuatiliaga sana.Thomson na Thompson, Thom without P for Phidadelphia and Thom with P for Phidadelphia.
 
Mweeeh umeniacha mwenzio
 
Tuliosoma wakati wa Nyerere na kusoma vitabu vya Hadrey chase ndio tunajuwa hizo mambo. Soma vizuri utaelewa tofauti ya Thomson na Thompson.

Mmmmmh!! Ngoja kwanza nimalize kucheketua
 
Back
Top Bottom