Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Msaada wa ile comment ya biography ya ali kiba yenye orodha ya tuzo alizowahi kuchukua nyuma kabla ya zile za juzi
 
Msaada wa ile comment ya biography ya ali kiba yenye orodha ya tuzo alizowahi kuchukua nyuma kabla ya zile za juzi plz,naingia kwenye kipindi saa saba mchana nataka kuzizungumzia
 
Aisee mbona mtaumaliza mji kwa kuchukia kila mtu kubalini nyie vidada mna tatizo la kisaikolojia. Jikubalini even if outlook ni mbaya na wallet zenu hazisomi.

Mbona unamkalia nifah kooni?
Stop being too personal, its bad for your health.
Mimi nawewe ni mashabiki tu.
Mnakazana sisi tunamchukia dai kisa sio mashabiki zake.
Sisi wachawi, maskini, hatuna akili wapuuzi, wajinga, sio wazalendo na ni wa kupigwa na kila tusi weka hapo....
Ila guess what!, HATUBADILIKI !
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana team DOMO!
Leo nimeona matusi yenu na kashfa zote nimeona jinsi gani KibA amewatibua nyongo.
Pop it In!

Kwa jinsi nilivyofuatilia ili bifu naona kabisa kiba na wasanii wengine ndio wanatengeneza mabifu ila Chibu yuko kimya na kama unabisha msikie dudu baya apa nn alosema

Watch "udubaya kuhusu Wasanii wa bongo wanaotembea na bodyguards, Ali Kiba na Diamond, kulogana na mengine" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=i5_f3DPIr54&feature=youtube_gdata_player


Kama una link ambayo ilimuonyesha Diamond akimsema vibaya King wako naomba utuwekee ili tuitimishe mjala
 
Kiba ni wakati wako sasa kutumia nafasi ya tunzo ulizopata kujitangaza nnje ya Tanzanıa.

Tuliona mwaka jana Dıamond alivyoitumıa hiyo nafasi na kufanya mambo makubwa, ambayo yanampa heshima mpaka leo.

Kaka kibarua unacho.
 
Kwa jinsi nilivyofuatilia ili bifu naona kabisa kiba na wasanii wengine ndio wanatengeneza mabifu ila Chibu yuko kimya na kama unabisha msikie dudu baya apa nn alosema

Watch "udubaya kuhusu Wasanii wa bongo wanaotembea na bodyguards, Ali Kiba na Diamond, kulogana na mengine" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=i5_f3DPIr54&feature=youtube_gdata_player


Kama una link ambayo ilimuonyesha Diamond akimsema vibaya King wako naomba utuwekee ili tuitimishe mjala

Sitaki marumbano.
Ila pole yangu chukueni.
 
Kuna jamaa kasema hivi lakini sio mimi jamani..Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba. Barnaba anayetunga nyimbo zake, za Vanessa Mdee zote nyimbo zaTHT pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby anapitwa na mtunzi wa Cheketua.

Ally Kiba kuwa mtumbuizaji bora mbele ya Diamond Kitu ambacho hata kipofu anaona Diamond is the best performer.

Ally Kiba kuwa mwanamuziki bora wa kiume kwa mwaka 2014. Mbele ya mshindi wa tunzo za channel o 3 kwa mwaka 2014.

Nominee wa Bet na Mtv, mwanamuziki aliyejaza kwenye maonyesho kushinda wote kwa mwaka 2014, mwanamuziki aliyechuma pesa nyingi zaidi mwaka 2014, Mwanamuziki aliyetajwa zaidi kwenye Vyombo vya Habari vya kimataifa na kitaifa.

Mwanamuziki anayeongoza kwa nyimbo zake kuangaliwa Youtube na vituo vya kitaifa na kimataifa, Mwanamuziki ambaye nyimbo zake (audio)zimekaa kwenye chati za kitaifa na kimataifa kushinda Yeyote yule Tanzania.

Narudia Tena nimechek sana yaani, maana kuna vitu wanasema res ipsa yaani . A thing speaks by itself... hata kama kulazimisha kumpandisha mtu au kutengeneza equilibrium huku sasa kumezidi. Hamna haja ya kulaumu mtu yeyote cuz ni desturi ya wabongo kulazimisha kumshusha aliye juu.

The weird part ni kwamba alikiba ni mwanaume.

Why anafanyiwa women empowerment.
 
Mtakufwaa midomo wazii..!!!acheni wivu kila mtu na nyota yake hapa mjini buanaa..
 
Mkuu ngoja nikusahihishe,

Diamond hakutumia tuzo za KTMA kutoka nje ya TZ na AFRICA.
Ni kumshushia hadhi PLATNUMZ kusema eti amewahi tegemea tuzo.

Ivi kinachoanza ni nini kati ya kazi na tuzo?

Diamond alitumia fursa alipokuja DAVIDO fiesta mwaka juzi wakafanya remix ya MY NUMBER ONE.,kabla hata ya hzo tuzo and the rest is history .

Sasa ni masikitiko makubwa kwa team kiba na management yake kuwa na akili kama hzo.

BYE.
 
Back
Top Bottom