Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
King katushukuru jamani, i heart him soooo much
Ana adabu na busara
Mungu amuweke
King katushukuru jamani, i heart him soooo much
Yaani hapa namtafutia tusi silipati, Mfalme mkubwa yulee, ndio maana handsome,ana sauti nzuri, anajua kuimba, ananyima wenzie usingizi, mkali wa wakali tz,.... duuuh sijui nimemaliza matusi yote au kuna nililobakisha? nifah na Diva Beyonce watanisaidia kuongezea
Yaani huyu Kiba huyu muache tu!
naona avatar yako
View attachment 260201
View attachment 260202
Aya kumekucha wale watu wa sensa naomba watuhesabie watu hapo sebuleni na KTMA wanapendelea mpaka Dallas uko.
cc😡nifah do the needfull wengine sisi waoga katuulizie kwa jirani.
Jamani huyu mnafki kimemkuta kipi hadi akajipendekeza kwenye tuzo za King? Yeye si alimkaushia hadi support hakutoa King alivyotoa wimbo wa Mwana, safi sana....
Mimi sikumpigia kura Christian Bella sababu ya huyu mnakfi Dimpoz.

Avemaria umenifurahishaaaaa, ngoja nami nikatafute picha moja matataaa ya king nitupie avatar, pop it innnnnnn
Sebule hii noma, kuna watu wawili tu hapo kamebana mnooo, hapo king itakuwa alilipwa elfu kumi tu kwakweli ukijumlisha na zile tuzo alizodhulumu wenzie ndio balaa tupuuu, muone vile
KING mkubwa weee!
Lapyuuuu tooo! Be safeGuuuud night the royal family, nalala usingizi mtamuuuu huku natabasamu tu, lap you all😀
Teh! Teh! Teh! Hiyo sebule jamani hiyoooo!View attachment 260201View attachment 260202Aya kumekucha wale watu wa sensa naomba watuhesabie watu hapo sebuleni na KTMA wanapendelea mpaka Dallas uko.cc😡nifah do the needfull wengine sisi waoga katuulizie kwa jirani.