pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,562
- 14,628
Kwa hapo walaaaa hawaoni wanaona ya kiba tu, ujue mie siwaelewi hao team nyodo wanayolalamikia ndio wanayofanya, au nfio ile kunya anye kuku!
yani domo kila kitu et anaonelewa mara oh wanataka wamshushe sasa kwa lipi hasa ila bum bum mkuuu hapanaaa mi ckubaliani nayo aisee bora nasema nawe kuliko ile