Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

lini tena kuna kupiga kura jamani nianze tena

Yaaani natamani mwaka mzima tungekuwa ni kupiga kura tuuuuuuu, mbona wangekoma!! Taratiiiiibu tu tutafika kule tunakokutaka, walaaa hatuna papara sie kila kitu kwa utaratibu
 
Attachments

  • 1434291908220.jpg
    1434291908220.jpg
    15.4 KB · Views: 132
Last edited by a moderator:
Hahaaa wanakosaga la kusema basi hawa. Hii sebuleni ni hatari na kuna watu kumi.

Sebule hii noma, kuna watu wawili tu hapo kamebana mnooo, hapo king itakuwa alilipwa elfu kumi tu kwakweli ukijumlisha na zile tuzo alizodhulumu wenzie ndio balaa tupuuu, muone vile KING mkubwa weee!
 
Sebule hii noma, kuna watu wawili tu hapo kamebana mnooo, hapo king itakuwa alilipwa elfu kumi tu kwakweli ukijumlisha na zile tuzo alizodhulumu wenzie ndio balaa tupuuu, muone vile KING mkubwa weee!

Hahaaàa hata hao wawili mbona kaimbia chumbani kabisa. Hafu Kiba mbaya huyo kuchukua tuzo nyingi ili amshushe jamaaa ana chuki ka nini yani.
 
Sebule hii noma, kuna watu wawili tu hapo kamebana mnooo, hapo king itakuwa alilipwa elfu kumi tu kwakweli ukijumlisha na zile tuzo alizodhulumu wenzie ndio balaa tupuuu, muone vile KING mkubwa weee!

Hahahahaaa uwiiii! Elfu 10 nyingi hivyooo? Elfu 5 tu ndio saizi ya huyo the so called King Kiba!
 
Mamii mavi yangu niliyaandaa kwenda kumsaidia yule juha kunya si kaniangusha bwana maana kaishia kujiharishia tuu huko kwao bado anafanya usafi, teh teh teh

sorry nlitaka niwambie team mondi mavi yaoooooo
 
Jamani hiyo sebule inayochukua watu wengi hivyo ina ukubwa gani? Tujuzeni wenzenu tujue masebule ya wenzetu atiiii...

Mamii show za king huwa ni za sebuleni tu ujue, sasa hii sebule ndio inaniacha hoi hapa, sijui imeunganishwa na dinning safari hii
 
Hahaaàa hata hao wawili mbona kaimbia chumbani kabisa. Hafu Kiba mbaya huyo kuchukua tuzo nyingi ili amshushe jamaaa ana chuki ka nini yani.

Yaani hapa namtafutia tusi silipati, Mfalme mkubwa yulee, ndio maana handsome,ana sauti nzuri, anajua kuimba, ananyima wenzie usingizi, mkali wa wakali tz,.... duuuh sijui nimemaliza matusi yote au kuna nililobakisha? nifah na Diva Beyonce watanisaidia kuongezea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom