Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,260
Tuzo ya collabo si znatolewagwa mbil??
For dure ilitakiwa ziwe mbili maana ile chorus aiseee iliinogesha ule wimbo balaaaa, King hakoseagi jamani
Tuzo ya collabo si znatolewagwa mbil??
Hahahaaaaaaa!! abou bwana anaijulia wapi huyo sasa, angeipata nfomo angeijua
Ms.Lincoln utabiri umetimia, as usuaaaal akuuuu sie twacheketua tuuu kwa raha zetu kwa taabu zaoNampenda Kiba, leo lazima atupe raha .
Natabiri kujamba jamba kwa team ndomo na kuhara hara kwa malalamiko na kuwayawaya....
Diva Beyonce wanajua fikaaaa the way King anavyowanyima usingizi, hayo maneno wanaongeaga kujipooza tu, ila wakikaa wanamsikiliza king tu alafu moyoni wenyewe wanajisemea 'aisee huyu Kiba ni kiboko yetu"Umejuaje ana hate hvi nyie mashabiki wa domo mbona huwa mnajitoa ufahamu hivi sasa kuja kukutika kwenye Uzi wa mwanaume mwenzenu special hammuoni kuwa mnamzalilisha msanii wenu.
Ushabiki upo tu msitake Ku force kila mtu ampende huyo domo.
You guys needs to grow up and act like people who are matured.
Msanii wenu ni bora lakini kutwa kuhangaika na Ali kiba .
Naona lemutuz kapaniki
Bado Nina usingzi
Gud morning!!
Msisahau kuvote kwa Diamond mana yupo kwenye tuzo nyingine za kimataifa bado. MTV na Nigeria nyi mchezo wenu umeisha kwaio sapport kwa mTanzania mwenzetu. Am out
Yule mbabu mtoto ana mahaba na ndomo balaa hawezagi kujizuia, km namuona alivyokuwa anabanwa suruali kila jina la king likitajwa, ila ndio tushampa tuzooooooooo, waongeee weeee ila wasisahau hata ndomo wakati anazizoa kuna watu walilalamika sooooo haidhuru
yani nikose kazi niipigie bumbum kuraa hata mungu atanilaani wallah
For dure ilitakiwa ziwe mbili maana ile chorus aiseee iliinogesha ule wimbo balaaaa, King hakoseagi jamani
Hahahaaaaaa!! Umenifanya nicheke bila kutarajia, hv kumbe na bum bum imo!!! Kweli sasa mtv wamechoka
Mtani naona leo una furaha sana...
et clouds wameandika hapybirthday kiba kwani jana ni birthday ya kiba jamaniii pop it in in kiba voice papireeee papireee kiba square KING KIBAAAAAAAAAA 4realy
hawezi chukua aisee davido wizikidayo(aroow) no no no nasema no kibaaaaaa made my weekend prety
Hahahaaaaaa!! Umenifanya nicheke bila kutarajia, hv kumbe na bum bum imo!!! Kweli sasa mtv wamechoka
Hahahaaaaaa!! Umenifanya nicheke bila kutarajia, hv kumbe na bum bum imo!!! Kweli sasa mtv wamechoka
Yaaani furaha ya ajabu, japo sikufanikiwa kuziangalia ila nimefurahi kweli, hata njaa siipati leo kila wakati nacheka
Mwana5 kiba6
Natamani nigongwe ban ya masaa6
Mana sijisikii kutoka umu ndani