Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Msisahau kuvote kwa Diamond mana yupo kwenye tuzo nyingine za kimataifa bado. MTV na Nigeria nyi mchezo wenu umeisha kwaio sapport kwa mTanzania mwenzetu. Am out
 
Eeeeeeebana leo nipo na mood ya ku swing side to side but far most Congrats Ali kiba huuuh 5 troph's oooouuhh my my..! Team mipasho please sshh sssshhh wakasaidie mapishi...! We roll hard an harder but once more much respect to Sinoni daraja 2 an A city kwa support toka kwa Joh makini.... Najiona mimi
 
Na hizo atakosa

Wakati huu

King yupo kwa Obama

Anasuka collabo moja

After ramadhani akinukishe

Lastly next week Chekecha video kwa kioo chako


Imekua directed na good director in Africa co yule mbanaji


Slow slow but sure
 
Msisahau kuvote kwa Diamond mana yupo kwenye tuzo nyingine za kimataifa bado. MTV na Nigeria nyi mchezo wenu umeisha kwaio sapport kwa mTanzania mwenzetu. Am out

Diamond kushinda kwenye kipengele chochote kile kwenye MTV MAMA this year, ni NGUMU kuliko LIONEL MESSI wa Barcelona kusajiliwa na Azam FC ya Dar Es Salaam.

Don't get your hopes up buddy..

I'll support him though, me ni Mtanzania pia.
 
Hakuna kitu kitamuuuuuu kama kuthaminiwa na kukubalika nyumbani, i heart you my king

Pop it in ama neneeeee, kuna mtu kanuna kwiniiiiii!!!???
 
Diamond kushinda kwenye kipengele chochote kile kwenye MTV MAMA this year, ni NGUMU kuliko LIONEL MESSI wa Barcelona kusajiliwa na Azam FC ya Dar Es Salaam.

Don't get your hopes up buddy..

I'll support him though, me ni Mtanzania pia.

Wanaongea kwa nyodoooo kama boss wao, na tuzo walipokea kwa nyodooooo, nyoooo kumbe wanazitaka ila wanajifanya sizutaki mbichi hizi!!!
 
hivi le mutuz anaakili kweli

eti KING KIBA hakustahili kaandika hivyooo et ila kibaaaa ni hatari

Yule mbabu mtoto ana mahaba na ndomo balaa hawezagi kujizuia, km namuona alivyokuwa anabanwa suruali kila jina la king likitajwa, ila ndio tushampa tuzooooooooo, waongeee weeee ila wasisahau hata ndomo wakati anazizoa kuna watu walilalamika sooooo haidhuru
 
Woyoooooooooo
Woyooooooooooo
Woyooooooooooo
Woyoooòooooo
Woyooooooooo
Ally Kiba anashukuru sanaaaa
Ameahidi safari hii hatokaa kimyaaa
Mtajinyea nyea na kujiharishiaaaaa
Alivochukua ndomo ilikua fair ila akichukua mwingine ni unfair
Yani nyokolost wote andaeni vyooooo

Kwani wanalalamika nn tena? Wao si intaneshino jamani, hizi local kwani si walisema hawazitaki? Au ndio aliona dalili ya mvuaa?? Yaaani nacheka cheeeka mwenyewe tu, King tusonge mbele nyuma mwiko and noo majivuno
 
Back
Top Bottom