Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Lukelo yupo wapi!! Tusherehekee wote
et mkuu niichague best collable of the year haki ya mungu mi sielewi wanaangalia nn bumbum
mkuu basi umekosa rahaa kumbe hukuangalia tuzo ya mwisho ya kiba kaitoa paulo makonda mkuu wa wilaya kinondoni aisee ilikuwa raaaaa sana janaaaaa haki ya mungu
naskia kumbe ukitaka kuingia katika zile tuzo kigezo chao kikibwa mpaka umshirikishe mnigeria au msanii yeyote wa south afrika ila jamani bumbum hapana bora nimpe davido na araphat
Lukelo yupo wapi!! Tusherehekee wote
Kuna yule jamaa alisema Kiba akizizoa tuzo atakunya mafungu mafungu sijui kuanzia wapi mpaka wapi, cjui nimtafute nimsaidie maana najua ma-vi yatakuwa yamemuisha now
Msamehe tu
Kwasababu kaka ake lemutuz mutu mpana
Amemsaidia kujinyea
Hahahaaaaa muke anakunywa juice tu ye anasonga ugali hahahaaa mahabaHaaaaaaaaah haaaaaaah..! Na wakasaidie mapishi koz leo insta naona anampikia mkewe...? Sssssshhhh sssshh team mipasho
Hahahaaaaa my ribs......Kuna yule jamaa alisema Kiba akizizoa tuzo atakunya mafungu mafungu sijui kuanzia wapi mpaka wapi, cjui nimtafute nimsaidie maana najua ma-vi yatakuwa yamemuisha now
Hahahaaaaaa!! Umenifanya nicheke bila kutarajia, hv kumbe na bum bum imo!!! Kweli sasa mtv wamechoka
Hahahaaaaa my ribs......
Hahahaa naona waliiipenda ile lipshine aliyopaka ndomo kwenye video.
Jamani huku nitakuja baadae ngoja niende instagram kwanzaaa.
Ila hongereni kwa kazi nzito na nzuri tuliyoifanya.
Jamani huku nitakuja baadae ngoja niende instagram kwanzaaa.
Ila hongereni kwa kazi nzito na nzuri tuliyoifanya.
hamna namna zaidi ya kura #kingkiba anajua
Eti ooooh roho mbaya sijui kumshusha ndomo, mbona wao wanataka kumshusha kibaa au wao ni miungu? Na maneno ya shombo eti muda wake umeisha!! Kwahiyo wao kwahili ndo wanaupandisha muziki wa bongo??? Wakwendeeeee