Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hiyo hapo mkononi kwa King si iPhone 6 jamani? Maana kuna limburula huku linasemaga King anatumia tecno sijui!

Mamii kwani king hata viatu anavyo basiii, anavaaga ndala tu.
 
Ata mimi nimewaona mamy ila nilichogundua wanajua kabisa wakianzisha uzi wa kumponda kiba watapata comment nyingi sasa imekula kwao ata niitwe mle siendiiii

Hahahahahaa, ujue wanafanya vile maana wamemiss ligi na sisi.
Sasa mimi nikiona vile napotezea tu, halafu kaandika utumbo mtupu kidogo nimjibu basi tu.
 
+Yeah team mond team akili kubwa hatuna kwere na msanii underground yoyote akitusua kimataifa japo kwa wiki 1 tunampongeza.

+nyie mnaosema fotoshop msituabishe , ilipigwaga buana japo ilipigwaga haikudumu hata wiki 2 lakini ilipigwagaaa!

Jombaa hiyo mbinu yako uliyoianzisha....honesty sijaipenda kabisa.
Sijui kwanini nikiona hayo ma ++ kichwa kinauma balaaa!
Ni ushauri tu lakini...take it or leave it.
 
Nyie vivulana visichana mnajaza server kwa vitu vya kitoto tuu humu ndani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Muda huu wa kuandika upumbavu hapa ungeutumia kwenye kilimo cha kufa na kupona ungeshajiondoa kwenye kundi la malofa.

U could never be betetter.,., umejitahidi pia.
 
Jombaa hiyo mbinu yako uliyoianzisha....honesty sijaipenda kabisa.
Sijui kwanini nikiona hayo ma ++ kichwa kinauma balaaa!
Ni ushauri tu lakini...take it or leave it.

+kwanza mbinu gani nilioianzisha? Ya ma+++ au? Ha haa haaa natamani kujua!

+halafu kipi kinachokukera kwenye post zangu, ni hoja au kuna kingine:what: fungukaaa usiogopeee!

+pole kwa kichwa kuuma jibu hayo maswali yangu hapo juu ushauri utakua umekamilika.

+jf burudani sana ha haa haaa 😀😀😀
 
Hahahahahaa, ujue wanafanya vile maana wamemiss ligi na sisi.
Sasa mimi nikiona vile napotezea tu, halafu kaandika utumbo mtupu kidogo nimjibu basi tu.

Hahahaaaa team kiba na sisi ni ma celebrity...
Pona yao ni mwezi Ramadhan tuu ndo watapumua
 
+kwanza mbinu gani nilioianzisha? Ya ma+++ au? Ha haa haaa natamani kujua!

+halafu kipi kinachokukera kwenye post zangu, ni hoja au kuna kingine:what: fungukaaa usiogopeee!

+pole kwa kichwa kuuma jibu hayo maswali yangu hapo juu ushauri utakua umekamilika.

+jf burudani sana ha haa haaa 😀😀😀

Hapana, umenielewa vibaya.Mimi namaanisha hiyo sijui ni mbinu (ya kuwa unique) au swaga sijui unajua mwenyewe...
Yaani kila aya unaanza na +,ndio kama nilivyosema.....kwani kuna ubaya nikikuambia?
Halafu hayo maswali yako sina time nayo maana hapa sio shule, leo niko kiburudani zaidi sitaki ligi au kujibu maswali ya mtu.
 
Hongera zake, Ila sijawahi kuwa mshabiki wa Alikiba. Huwa hana kitu chochote cha kunishtua hasa katika muziki, Hapa nazungumzia sauti yake (siipendi kwa kweli), kucheza kwake na swaggerz ila as long as anamashabiki wake, Good for him and his fans. Ila a guy is mcute jamani lol!

Sio mbaya kwa kumkubali kwa hilo..lol
 
Wewe unashangaa simu?.......basi tu ngoja nisiseme.

Hata akijamba wanasema kajamba kama ndomo, hv angekuwa anashindana nae si ngoma zingekuwa zinatoka kila mwezi!! Lkn katuliaaa anafanya kwa mipango sio kukurupuka tu, ila ndio hivyo lazima waseme tu, alafu anaanzaje kukurupuka kutoa toa minyimbo wakati mwana,cheketua,mapenzi yanarun dunia,mak muga,dushelele nk mpaka leo ukizisikliza ni kama zimetoka leo asubuhi
 
Hapana, umenielewa vibaya.Mimi namaanisha hiyo sijui ni mbinu (ya kuwa unique) au swaga sijui unajua mwenyewe...
Yaani kila aya unaanza na +,ndio kama nilivyosema.....kwani kuna ubaya nikikuambia?
Halafu hayo maswali yako sina time nayo maana hapa sio shule, leo niko kiburudani zaidi sitaki ligi au kujibu maswali ya mtu.

+Sasa nimekuelewa, mwanzo hukua straight, hakuna ubaya kunishauri, hii ni namna tu ya uandishi niliyoamua kuitumia.

+Halafu kingine hii ni aidentinti ya post zangu ndo maana ukiona ma+ tu unajua ni flani.

+nategemea kubadilika nikipata maoni ya watu wengine zaidi

+asante kwa ushauri :thumbup::thumbup::thumbup:, tupo pamoja, halafu kila siku tupo kiburadani zaidi ama nini😎
 
Hata akijamba wanasema kajamba kama ndomo, hv angekuwa anashindana nae si ngoma zingekuwa zinatoka kila mwezi!! Lkn katuliaaa anafanya kwa mipango sio kukurupuka tu, ila ndio hivyo lazima waseme tu, alafu anaanzaje kukurupuka kutoa toa minyimbo wakati mwana,cheketua,mapenzi yanarun dunia,mak muga,dushelele nk mpaka leo ukizisikliza ni kama zimetoka leo asubuhi

Acha kutaja nyimbo za mwaka47. Watu wanataka vitu vipya vipya. Kutoa nyimbo gharama sikuhiz usione watu wanakaa kimya tu. Mana ukitoa nyimbo mashabiki wanadai video, video yenyewe south M40 huko xo lazma kujipanga.
 
Back
Top Bottom