Jana nilijipa mda kusikiliza cheketua na nana.. kiukweli kiba ni kipaji cha hali ya juu. Kwa mfano chukua wimbo wa mapenzi yanarun dunia huwezi fananisha na wimbo wowote wa dai. Ujanja wa diamond ni kucheza na media (tv, radio, mitandao nk) vzr, show nzuri (dai kwa kucheza ni hatari), mameneja wanaoangalia kila fursa, kuwekeza pesa nyingi kujibrand (ana mpiga picha, mlinzi, dj, pia na zari).. alivyojibrand inabidi promota zimtoke hela nyingi.
Nahitimisha kwa kusema kuwa Kiba arekebishe makosa yake na kuanza upya. Aache uswahili maana yeye ana thamani ya juu sana. Alipo ss hivi sio panapomfaa.