Nyie team ndomo sijui domo...
Whoever did this na anaeendelea kufanya upuuzi huu may yu stop it pliiz??? Dis z not fair kama mnajiamin cmtengeneze mabango yenu na code zenu????? Why r yu using da image ya #KingKiba for yo own benefits?????? Aiiiseeee tengezeni mabango yenye picha zenu na code zenu co kupotosha watu kijingaaa
Hey teamkiba the strongest team naomba msidanganyike kirahisiii iviii hawa wanatumia jina la king kupiga promo zao wenyewe hizo sio code zetu code zetu ni hiziiii 👇👇👇👇👇👇
AB1
BB1
FB1
AH1
DA4
GA3
AL4
👆👆👆👆👆👆
Naomba tusiwape nafasi ya kututumia kirahisi iviiii
Ikiwezekana repost n share ujumbe huu ili watu wasidanagnyike kiiviii.....Hope tutashirikiana kwa hiliii #teamkiba the strongest team ever
#Kwa_Pamoja_Tunaelekea_Kushinda
Cc nifah, Diva Beyonce, atoto Ms.Lincoln unanitaka, Matola, Avemaria [MENTION=194098][/MENTION] na all kiba fans
Mmmh lazima uingie na ac ya fb? Mie sina
Mimi enyewe sikuwa nayo nikairegister kiaina kwa ajili ya hii kazi tuu..
Jitahidi mamy
Oooh hapo sawa, km namuona yule haramu anavyoumia sasa, na ndio tunaendelea kupiga kura sasa, hutaki pasua simu.
Nyie team ndomo sijui domo...
Whoever did this na anaeendelea kufanya upuuzi huu may yu stop it pliiz??? Dis z not fair kama mnajiamin cmtengeneze mabango yenu na code zenu????? Why r yu using da image ya #KingKiba for yo own benefits?????? Aiiiseeee tengezeni mabango yenye picha zenu na code zenu co kupotosha watu kijingaaa
Hey teamkiba the strongest team naomba msidanganyike kirahisiii iviii hawa wanatumia jina la king kupiga promo zao wenyewe hizo sio code zetu code zetu ni hiziiii 👇👇👇👇👇👇
AB1
BB1
FB1
AH1
DA4
GA3
AL4
👆👆👆👆👆👆
Naomba tusiwape nafasi ya kututumia kirahisi iviiii
Ikiwezekana repost n share ujumbe huu ili watu wasidanagnyike kiiviii.....Hope tutashirikiana kwa hiliii #teamkiba the strongest team ever
#Kwa_Pamoja_Tunaelekea_Kushinda
Cc nifah, Diva Beyonce, atoto Ms.Lincoln unanitaka, Matola, Avemaria [MENTION=194098][/MENTION] na all kiba fans
Hata mimi nilihisi jambo kama hilo.Ngoja nitapiga kwa kutumia simu ya dogo.
Kwenye miss world na wao walisema wanatrace lakini matokeo yake ilikuwaje jamani kama si watimanywa kushika na 2?
Mi siwezi kupiga kura moja na zote nitazopiga lazima zihesabike wamenigomea kwa zantel na watsApp ila kwengine manjonjo lazima hata wakitrace wanajisumbua....huku watakuta mage wa Arusha, kwengine Anitha wa kigoma, pengine Nathalia wa Benaco, wakichimba sana watakutana na Lora wa Kampala! Ohooo akili kumkichwa
Yeah line zote jina ni moja, kwahiyo ndio siruhusiwi tena kupiga kura? Maana tokea jana ndio kwanza naanza kupiga kura najibiwa nishapiga kura nikachoka mwili na roho
Kipindi cha mwazo kura zilikuwa zinaenda tu hata kwa line tofauti zenye jina moja labda saa hizi wameshtuka.
Hata hivyo usihofu, chukua simu ya/za dogo weka jero piga kura kisha hamia kwa maza au yeyote yule tia jero then piga kura.
Usihofu hasara.....kama ukimuwekea mtu afu ukakuta keshapiga hamisha salio lako kisha endelea na biznee zingine
Hahaaaaa! Safi sn
Leo nimedaka simu ya mtu nikapiga kura kumbe yeye team ndomo akaja kukutana na sms tu acha animind, na bahat nzuri alikuwa hajapiga kura, nimechekaje
Saaafiiii!!!
Hao ndo mashabiki uchwara tunaotakiwa tuwaoneshe kazi......ye alikuwa wapi siku zote hizo?!! Heheh ndo ishatoka hiyo masikini
Wakiku trace kura itakayo hesabika ni moja tuu...maana wanajua fika watu watafanya hivyo pia code ya simu,jina la mtu,location...! ...