Ali kiba nae kapeleka video gan bet n a.y tu ndo mtz nyimbo zke zinapigwa bet international pelekeni n nyie kale ka video chenu maneno ya nyimbo n script ya video tofauti kabsa mnazidiwa hadi n rich mavoko tena yeye alimtumia Adam juma[/QUOTE
Unasahau kuwa kiba hashindani na mtu bebe, halazimishi, na tunawaambia jaman kiba yupo local, mwana dar es salaam, channel za bongo zinamtosha kabisa mbona mnapagawa?? Mwamlazimisha apeleke nyimbo BET ili?? Huko pelekeni nyie bana wazee wa international hahhahahahahahah!!! Vipi mmeacha kuvaa feki