kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
We jamaa yaan kilaza saana ina maana wakat anapost za mwanzo kua ni fake hakujua kua ni nguo alotengeneza yeye haiji kwa kichwa
We ndo Kilaza unabishana n mwenye mashati yke kasema I just got news roperrope just went international yaan kapata habari kuwa roperrope imenda kimataifa hayo masahati yanaitwa ivyo so unabisha nn n kwann aweke picha ya diamond pyeeee