seif matar
Member
- Feb 3, 2015
- 54
- 24
Icho n kiswagilishi ckwamba cjui n ni prove kila mtu anakosea ndo maana hata waziri mkuu alisema naunga mkonyo badala ya mkono
Kojoa ulale!!!!ukiamka moja kwa moja kwa Ras Simba sawa😁😁
Icho n kiswagilishi ckwamba cjui n ni prove kila mtu anakosea ndo maana hata waziri mkuu alisema naunga mkonyo badala ya mkono
Icho n kiswagilishi ckwamba cjui n ni prove kila mtu anakosea ndo maana hata waziri mkuu alisema naunga mkonyo badala ya mkono
Ndo maana nakuita kilaza namba moja yule ni waziri mkuu? Yaan hata waziri mkuu wako humjuii...hata wazee vijijini ambao hawakuijua shule wanakuzidi...nakukemea we ni pepo toka humu..pita 👉
Teh teh teh! Wazee wa DNA hawa sheeda sana.
Kwa mliokuwepo jana kwenye ule uzi zingifuri aliniongelea nini?
Nimekuta tu mention ila post imefutwa

YAaan palikuwa na michambo ya hali ya juu na alitoa post ya msamaha sema mods wamefuta
Hebu sema vizuri tukuelewe mumy.Ndio ile aliyosema kama ametukwaza tumsamehe au kulikua na nyingine?

Alikuwa anakunyakunya tu nothing important.
Hebu sema vizuri tukuelewe mumy.Ndio ile aliyosema kama ametukwaza tumsamehe au kulikua na nyingine?
Yaani huyo bibie nahisi mood swing zote za huu ujauzito wangu mchanga zingeanza nae! Teh!
Bora tu vile uzi umecloziwa maana ningehakikisha namkera vizuri ili siku akinimention basi iwe ni penye maana.

Wapuuzi tu wale kitu kikiwashinda wanakuja na id's tofauti hafu miandiko inafanana yote na magazeti marefu hafu wanajipa hadi shift. Wanachekesha sana.
Hahahahaaaa! Mods nao sijui kwanini wanawaendekeza watu kama hao.
Ilitakiwa waunganishe id's zake tu tumjue ni nani.
Ukiachana n shoo za south Africa, Nigeria, Ghana, Cameron, Togo, n Angola pia izo n za bongo Moshi date 24/7/2015 tanga 8/8/2015, chekecha cheketua tour imeishia wapi Ali sema Tanzania nzima atatembea 😀😀 angojea ela za kili awards aendelee:what:
Ebu nifundishe jinsi ya kufungua id mpya nisijulikane nataka nikawachambe team domo

Ya kazi gani dear huo ni ulimbukeni tu.Huo upuuzi tuwaachie team domo sisi wa Kiba hadhi yetu kubwa bwana.....no need.