Haaaa! Mwalimu wa walimu....mnafiki sana huyu happo happo!
Hahahaaa mbavu zangu miee Avemaria alimtaja iyo siku basi amepooza ndo leo kafufukaa
Last edited by a moderator:
Haaaa! Mwalimu wa walimu....mnafiki sana huyu happo happo!
Ni kweli mamy mimi nimeshaenda kuchamba na hii hii id yangu og ila nashangaa hawani quote niwashikishe adabu
Hahahahaaa kuna mpumbavu mmoja naona anatafuta league sana.
Lakini kutokana na kumchunguza na kuona ni mtupu kichwani hana hadhi ya kua na league na mimi ndio maana nampotezea tu.
Angekua smart upstairs ningeshamvaa zamaaniiiii.
Ila namuangalia tu, siku yake inakuja.
Mpotezee mamy usihangaike na mtu ambaye hana hadhi..mi mwenyewe nadeal na wale wanaojion ma celebrity wa domo vingine ambavyo sijui vimetokea wapi napotezea
Two Rockstars signee, Ali kiba and Keko will be featuring on this year's coke studio africa;
26 of Africa,
52 new songs,
9 world class music shows
Two Rockstars signee, Ali kiba and Keko will be featuring on this year's coke studio africa;
26 of Africa,
52 new songs,
9 world class music shows
Mbona Ben pol hujamtaja halafu ivi mnamjua keko
Si umeshamtaja wewe binti inatosha
Si umeshamtaja wewe binti inatosha
Mbona Ben pol hujamtaja halafu ivi mnamjua keko
Si umeshamtaja wewe binti inatosha
Hahahaaa mbavu zangu miee Avemaria alimtaja iyo siku basi amepooza ndo leo kafufukaa
Ukiachana n shoo za south Africa, Nigeria, Ghana, Cameron, Togo, n Angola pia izo n za bongo Moshi date 24/7/2015 tanga 8/8/2015, chekecha cheketua tour imeishia wapi Ali sema Tanzania nzima atatembea 😀😀 angojea ela za kili awards aendelee:what:
I
Hivi we Appoh una matatizo gani?
Kwanini usipeleke hizo habari kwenye uzi wa ndomo, kwani sie zinatuhusu?
Moderator mtu kufungua ID nyingine sio mbaya saaaana as long as anaitumia positively. Sasa inakuwaje kwa huyu mtu anatumia ID mpya kwa ajili ya kuwachokozea wenzie?
Yaani siku hizi mtu akishindwa kuwaface wenzake utaona anakimbilia kufungua mpya mfano wa yule zingifuri......hivi humu patakuwa mahali salama kweli endapo huu mtindo utaendekezwa?!!
Huu mtindo unakera, najaribu kufikiri siku ambayo mie nikiamua kuja na ID mpya alafu namlipua mtu kuanzia maisha yake ya humu jf mpaka kwenye other social networks na maisha yake halisi....mtaniacha kweli nyie moderators? Maana sasa hawa watu wanakera aisee
Jiandeni diamond platinums ft Mr flavour #bet wimbo ushapelekwa
Sasa umemaindi nn kwan mie nimekutukana maumivu yakizidi kamuone daktari 😀 me nawapa changamoto tu au nime Ku cyber bull
Peleka habari zenu huko!
Changamoto ndo mpaka uje na username mpya??! Msonyoooooooo
Kesho na keshokutwa mkizidiwa ndo mnaenda kuanzishia wenzenu.....mnaona sifaaaaa!!!
Krbu wcb nafasi bado zipo maana tumewazidi kila kitu loh to reach these height's u gonna need g3 4 5 6 mics