Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,223
coming soon!
Kanti weiti mie, itakuwa ya kiintaneshino
coming soon!
sasa we jamaa ni shabiki wa mondi huku unafuata nini, uzi wenu si upo au vp?
Hahahahahahaa uwiiiiiii! Asante kwa kunikumbusha nilitaka kusema hili nikasahau.
Ooh Kiba show zake za buku 10, vipi leo Le Billionaire anaenda kupiga show ya elfu 5?
Mwanamuziki wa kimataifa jamani aibu gani hii?
Hahahahaha, huyo ni NAZI yetu hapa wala asikupe shida.
Wenzio tumeshamzoea tumebaki tunajichekea tu.
Sometimes anatia huruma maana uzi wao umekufa na anahitaji watu wa kushare nae vitu anakosa inabidi ajipendekeze huku.
Na hapo anatumia fake ID Ila tunamjua vizuri tu.
Hahahahahaa wachawi wanajuana, who knows? Labda walishagongana na ungo huko angani...lol
Nyie ndo muumie aisee midume mizima mnaojifanya international kuhangaika na msanii local. Tuzo mmekosa na bado. Ku post kwenye Uzi wake inaonyesha mnaumia Mpaka vibamia.
Na MNA post kujifariji nendeni kwenye Uzi wake huku mnajisumbua wanaume gani msio jiamini. Kuja kulia lia kwenye Uzi wa mwanaume mwenzenu acheni udhaifu jikazeni utafikiri mumetelekezwa. Wanaume wengine buaaaana isingekua chululu mngekua mna chuchumaaaa ebooooo.
Hahaaaaaa eti za elfu kumi ni za masikini wao million Tatu. Kanishangaza Leo buku tano ndo anapiga. Kauli za kijinga bila kufikiri zinawaangamizaga wengi bora mtu angekua hajatoka uswahili amekulia maisha ya watu ka Bakheresa wapi. Wanaosahau walipotoka wana matatizo.
Ukiona hvo hali ngumu mama eeeh kuji pretend kusiko na msingi. Najua tuzo ya Kiba imempanikisha hata lala
Mwezi.
Hahahaaaaa!!! Yaani wanajitihada za id hawa watu, alafu wao wa intaneshino sijui hapa neshino wanahangaika na nn, hivi mwanza iko Tanzania au USA?
Hivi kumbe ni wavulana?? Nina mashaka na hilo, haiwezekani
Hawa ni wavulana aina wasio risiki. Hujaona mambo yao yakukatika viuno kwenye Uzi wa kiba mana wana mu mind. Na kiba hana nao time.
Wengi wao jeans zao zina zipu ya nyuma.
Hahahahaha, huyo ni NAZI yetu hapa wala asikupe shida.
Wenzio tumeshamzoea tumebaki tunajichekea tu.
Sometimes anatia huruma maana uzi wao umekufa na anahitaji watu wa kushare nae vitu anakosa inabidi ajipendekeze huku.
Na hapo anatumia fake ID Ila tunamjua vizuri tu.
Alafu umenikumbusha aisee hivi kumbe wana uzi eti?? Au umeblokiwa ukapelekwa intaneshino?
ukiangalia hali ya uzi wao ndo utajua kuwa hawa jamaa hawapigi kura, haihitaji uwe na degree
Wao wa intaneshino bwana, mie nasubiri waniwekee linki ya bet niwapigie kura, uzalendo kwanza😀
Hapa tunafananisha kichuguu na mlima!
doh! Wanawake nyie sijapata kuona, ila kiukweli mm namkubali sana kiba, yaan hapa bongo hakunaga, nyimbo moja tu, category kibao
Hakuna kama Kiba wallah!