I love the dress ni zuri kwa kweli na wa wish all the best. Keep updating us.
Mama wanjera now anacheza tuu viduku na akina pet man na meneger... kwa kweli im so happy for her
I love the dress ni zuri kwa kweli na wa wish all the best. Keep updating us.
Teh! Teh! Ngoja wakufungulie tena ID mpya!
Pamoja mamy...hongera kwa kutopoteza kura yako bure
Wao walimwambia aachane na tuzo za nyumbani ni too local kwa level yake ye eti ni wa International ka tuzo za BET.Ngoja kiba achukue mweeeeehKati ya team kiba na team domo nani shabiki andazi wasioweza ata kumpigia bosi wao kura?
Oyooooooooooooooooo mama wanjeraaaaa oiiii oiiiiii
Acha tu nimefurahi sana.
Na kampeni pia nilifanya mpaka supporter mwenzangu akapata na kadi ya mwaliko. Chezea uzalendo damuni!
Kiba ni hazina ambayo haipaswi kupotezwa kabisa.
Wao walimwambia aachane na tuzo za nyumbani ni too local kwa level yake ye eti ni wa International ka tuzo za BET.Ngoja kiba achukue mweeeeeh
Kati ya team kiba na team domo nani shabiki andazi wasioweza ata kumpigia bosi wao kura?
Wao walimwambia aachane na tuzo za nyumbani ni too local kwa level yake ye eti ni wa International ka tuzo za BET.Ngoja kiba achukue mweeeeeh
Yaan mimi kila simu ya mtu nilikuwa nikishika tuu kama ina salio atampigia kura penda asipend...
Me pia nilishinda tiket but nimegawa coz nipo nje ya mkoa....
Im proud for kiba duuuuuuu...
Kitanda kimekuwa kidogo maana nimenenepa ghaflaaaaaaa
Mamy ule ubuyu niliokuambia ile saa nimeuotea ukiwa wa mato hauna ata dakika hewani.... naona wanaonyesha kidogo kidogo....ila ni keupee sielewi mama yake ni mweusi baba yake ni mweusi wamesaa mtoto mweupe ametoka wapi....ebu acha nikamtafute domo kwanza
Najaribu kuimagine kama hiyo ingeenda kwa Mondi....humu ndani kungekuwaje leo!
Uwiiiiiiiiiiii domo kablock account zake zote za insta...
Heheheiyaaaaaaaaaaaaa