Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Who is the boss.?
 
Attachments

  • 1432308229361.jpg
    1432308229361.jpg
    55.3 KB · Views: 115
Kama hamuoni kumbe mnaona
 
Attachments

  • 1432308277657.jpg
    1432308277657.jpg
    36.2 KB · Views: 110
Shoga yule ni timu mondi kaja na I'd nyingine kutusakizia uzushi kwa vile hstushabikii timu yake. Mpuuzi kweli yule sasa anataka wote tufanane kukomenti. Kanichekesha sana.

Hana lolote afu pale katutaja sisi team kiba tuu visaa....

Kuna mpuuzi ananitafutia ban jamani! Eeh Mungu nisaidie hizi hasira zipoe salama...
Maana ni ananikera hadi basi!
 
Bbc wamemuita diamond ring the king of bongo flevaaa #bbc Africa asanteni
 
Attachments

  • 1432318664624.jpg
    1432318664624.jpg
    41.2 KB · Views: 119
nifah njoo huku nielekeze huyo mpuuzi anapatikana wapi ninunue iyo kesi nipigwe ban mimi maana ata ivyo mb 8 zishanichosha.....usikute ni huyo ma.ta.ko. kedrick tuu
 
Last edited by a moderator:
nifah njoo huku nielekeze huyo mpuuzi anapatikana wapi ninunue iyo kesi nipigwe ban mimi maana ata ivyo mb 8 zishanichosha.....usikute ni huyo ma.ta.ko. kedrick tuu

Hahahahahaa achana na huyo bwabwa sijui anamvizia nani hapa!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mpuuzi ananitafutia ban jamani! Eeh Mungu nisaidie hizi hasira zipoe salama...
Maana ni ananikera hadi basi!

Hebu wapotezee kujibishana nao ndo wanavimba kichwa. Kuna watu waelewa kama Rutta ndo unaweza Ku argue naye hao wengine ujinga unawasumbua tu. Achana nao kabisa hawajui maana ya haya majukwaa.
 
Hebu wapotezee kujibishana nao ndo wanavimba kichwa. Kuna watu waelewa kama Rutta ndo unaweza Ku argue naye hao wengine ujinga unawasumbua tu. Achana nao kabisa hawajui maana ya haya majukwaa.

Nikiwa na hasira hua napenda kusema kama hivi...basi taratiiibu moyo wangu umeshapoa sasa.
 
Apa ni kwenye mambo ya red capert naona bibie katokelezeaa na amesema anategemea kiba atachukua na yy pia....
Bado nangoja mfalme afikeeeeee
 
Attachments

  • 1432322425857.jpg
    1432322425857.jpg
    39 KB · Views: 96
Watu tayar wamejipangaaa
 
Attachments

  • 1432323229573.jpg
    1432323229573.jpg
    29.9 KB · Views: 116
Apa ni kwenye mambo ya red capert naona bibie katokelezeaa na amesema anategemea kiba atachukua na yy pia....
Bado nangoja mfalme afikeeeeee

I love the dress ni zuri kwa kweli na wa wish all the best. Keep updating us.
 
Back
Top Bottom