Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kama haupo chini ya clouds hupati tuzo. Hizi ni tuzo maalum zilizoandaliwa na clouds media na wanawapa wale waliochini yao. Baba anagawa zawadi kwa wanawe alafu jirani ulalamike utakuwa mwehu. Nitashangaa kama tuzo hizo atapewa Diamond.

Kawaida ya maneno ya wakosaji watu tulipiga kura mbona Jide kapewa. Wabongo hamna jema loh
 
Kibaaaaaaaaa
 
Attachments

  • 1432328449006.jpg
    1432328449006.jpg
    32.1 KB · Views: 111
Kama haupo chini ya clouds hupati tuzo. Hizi ni tuzo maalum zilizoandaliwa na clouds media na wanawapa wale waliochini yao. Baba anagawa zawadi kwa wanawe alafu jirani ulalamike utakuwa mwehu. Nitashangaa kama tuzo hizo atapewa Diamond.

Je ye alipochukua mwaka jana alikua chini ya nani?na kama mlijua hilo kwanini mnajisumbua kupiga kura...jipange
 
Ambaye hajapata hajapataa na mchezo ndo umeishia apo... hongereni kwa kupiga kura na kumpigia mfalme kiba....
Mlikuw nami reporter wa kucopy na kupest hatua kwa hatua cute b kutoka the king kiba fans
 
Last edited by a moderator:
Ambaye hajapata hajapataa na mchezo ndo umeishia apo... hongereni kwa kupiga kura na kumpigia mfalme kiba....
Mlikuw nami reporter wa kucopy na kupest hatua kwa hatua cute b kutoka the king kiba fans

Asante sana reporter wetu.
Le Royal Family is so proud of you
 
Last edited by a moderator:
Big up cute b ...hakika wewe ni ripota mzuri.
Umbea tuachie mama wewe ni ripota. ..lol
Japo ripota hakuna tofauti na sisi wambea.

Hahahaaa asante mama...yaani nimehakikisha sijapitwa na tukio.... chezea reporter cute b wew...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom