Ogopa sana mtu ambaye badala ya kujibu hoja ana attack na mambo ya mtongozo.
Wanawaza kubanjuana tu muda wote wale mashabiki jamani kama wanayemshabikia vile.
Hakuna kitu kibaya kama dharau na kudis ulipotoka.
Zile tuzo za ktma d alipokea kwa kukenua mimeno yote na kulala nazo kitandani.
Leo hii anaona hazina maana.
Nipooo unajua domo kachanganyikiwa sana mana juzi nilionyeshwa huko instagram katuma video inaonyesha jamaa kaingia chumvini kwa mwanamke kisha akaibuka na yale mambo mekundu. Dahh! Akaandika ujumbe kuwa " haya ndiyo tunayokutana nayo wanaume tunaopiga deki" watu wakaripot hiyo video kwa isntagram management kuwa ni inapropriate video, basi naskia akaja kuitoa, ukiona hiyo video lazima utapike na ni udhalilishaji mkubwa kwa wanawake. Jamaa boya sana
Kuna mshabiki mmoja wa domo anamteteaga kinoma ila kwa sasa amesema kweli kiba ndo msanii pekee anayemuumiza domo kichwa...
Na akasema kiba izi tuzo atachukua zote coz kapigiwa promo sana...
Nikamwambia ayo ni manyunyuuu na badoo ajipange sanaa
Kwa hiyo niwazi kua domo analala akuwa amesimama ana haha...Mfalme karudia ufalme wake...
Heheheiyaaaaaaaa
Hahahahaaa sipatii picha King akibeba tuzo zote na domo akakosa hata moja!
Kwa mwenendo huu aliokua nao sasa atakua chizi kabisa!
Yaani akipata ni kwa bahati mbaya maana nasikia ile code ya G1 kama sijakosea alipewa kiba kimakosa ni ya domo ya kiba ni G3 sasa sijajua watachukua hatua gani maana pale watu tulipapigia kura sana
Aiseee! Mbona hukusema siku zote jamani cute b? Basi ngoja nitampigia tena King kwa code hii ya G3.Ila naomba Mungu watufanyie fair maana nitaumia sana domo akibeba tuzo kwa kura zangu!
Basi jua ww n kilaza nikufatilie wapi y should i follow a negro hata familia yng itanitenga ivi ww hapo jua kuhusu bet unajiona ume andika point yoyote kweli a negro will always be a negro so u think am about to pursue you haaah uki kua utaacha kumbe hadi leo unawaza kutongozwa
This is my real i.d pussy this me ryt here no fake i.d hapa kwanza vp mchana umekula au ndo pasi ndefu hadi ucku l.o.l halafu kapige mswaki ndo uje kubishana na mie
Yaani akipata ni kwa bahati mbaya maana nasikia ile code ya G1 kama sijakosea alipewa kiba kimakosa ni ya domo ya kiba ni G3 sasa sijajua watachukua hatua gani maana pale watu tulipapigia kura sana
Acheni utani basi....wengine tumevote though hatujakalili zile code. Ila ujumbe ulikuwa unarudi kwa jina la Kiba!
Hem ni PM mkuu
Akiskia hajapata tuzo za kutosha atakimbia shoo na kujifanya anaenda lea mimba au ana shoo nje hahahahaha. Hiv mbona haendagi sauzi? Anawaogopa ma x wa zarina nini
Akiskia hajapata tuzo za kutosha atakimbia shoo na kujifanya anaenda lea mimba au ana shoo nje hahahahaha. Hiv mbona haendagi sauzi? Anawaogopa ma x wa zarina nini
Anaogopa kuzomewa hahahaaaa...nikimwona domo nakumbuka fiesta duu alitia huruma balaa kiba alivyo panda watu ni weweeeeeeeee sasa ngoja domo apandee ....
Alikuwa mdogo kama prton
Ni kweli tupu my nifah sio mda wote tupo kishabiki na hasa kwa mziki wetu Tanzania. Ila kwa vile unamkubali mtu flani ukishauri kwa nia njema watakuona we ni hater unamuonea wivu na mafanikio yake, wakati mi namuona bado ana safari ndefu.
Hilo tatizo la sifa zisizo na msingi ni tatizo kwake nakumbuka kipindi kile kashinda tuzo Nigeria na ambapo DAVIDO hakushinda nakumbuka Idriss naye alishinda BBA. Sasa domo yeye huwa anafata upepo wa mashabiki bila kupima vitu kwa umakini. Alivoona Davido kaandika statement kuwa time cheat again na ilikua nadhani utani Domo kajiingiza moja kwa zote. Misifa ya kijinga jamani ina mucost sana na kujiona yeye ni top hakuna ka mwingine na kuamua kujiongelea tu bila kufikiria side effects zake.
Hafu tatizo la kuwakashifu wanawake bila sababu limemshushia credibility sana tu Mara Leo yuko hapa kesho kule na kuanza kuwazalilisha hajui kua kwenye jamii wanawake ndo huwa wana support sana kila sector kwa wingi wao na ndo wapiga wazuri. Sasa yeye sijui ndo huwa kiki zake kuwaongelea ma ex na jamii yoyote haipendi tabia chafu za uhuni uhuni, hasa kuzalilisha wanawake eti makombo.
Kikubwa ajiangalie nyendo zake kwa makini atajishusha mwenyewe kwa matendo yake mwenyewe ana safari ndefu. Na aogope mashabiki wa kumsifia bila kumu criticize sio wote wanaompa negative comment ni haters wengine wanazichukuaga na kuzifanyia kazi hadi wanakua best.
Lets wait and see n izo promo zenu et mnachukua zoteee diamond ndo aliweza kuchukua 7 hamna atakae Weza tenaKuna mshabiki mmoja wa domo anamteteaga kinoma ila kwa sasa amesema kweli kiba ndo msanii pekee anayemuumiza domo kichwa...
Na akasema kiba izi tuzo atachukua zote coz kapigiwa promo sana...
Nikamwambia ayo ni manyunyuuu na badoo ajipange sanaa
Kwa hiyo niwazi kua domo analala akuwa amesimama ana haha...Mfalme karudia ufalme wake...
Heheheiyaaaaaaaa
Na vp msanii anae watia mimba n kuwaacha wanawake hapo ana wathamani c et
Oooww...nimeblock pm siwezi kukupm jaman