Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahahaaa leo nina raha sana.Haijapita hata wiki tayari ndimu zimewarudia wao.
Tuwapigie kura Sauti Soul jamani, vijana watutoe kimasomaso E.A.

Jana alijibaraguza kuwapongeza sauti sol hahahha najua imemuuma sana na bado dogo mpaka aache dharau, hajui kuwa ulimi uliponza kichwa! Unaweza kuwa muimbaji mzur lakin watu wakakudiss tu, tukimweleza ukweli aache, mashabiki maandaz wanatuona wachawi, sasa yanatokea
 
Achana na huyo taahira anayehangaika kuniquote mara kibaaao.Halafu analoongelea ni tofauti na nililoongelea mimi sasa ujue watu wana utofauti katika uelewa.
Ananiletea hadi akina WizKid ambao mimi hata sijawaongelea katika post yangu.Si kuchanganyikiwa huko?
Hahahahaaa ukiona hivyo ujue sindano imeingia hadi kwenye mfupa.

Hahahahahhaahhahaahahaha
 
Afu mumy huyu mtu nimegundua kaja na hii id coz of you maana kule ulimwita kiazi mbatata na kaja kwa ajili ya kukukomesha....ila ni mjinga kwa sababu anapambana na mtu indirect na ni dalili ya woga
 
Haya matusi na tambo zenu mwaka huu hamtaona tuzo, labda ktma kidogo. BET ndo hiyooo imewapita, hahha mna hasiraaaaaaaa. Mlikuwa mkimdanganya sana domo ohhhhhhhh wewe ni wa kimataifa achana na ktma thubutuuuuu hahhahah

Cc kedrik
 
Last edited by a moderator:
Afu mumy huyu mtu nimegundua kaja na hii id coz of you maana kule ulimwita kiazi mbatata na kaja kwa ajili ya kukukomesha....ila ni mjinga kwa sababu anapambana na mtu indirect na ni dalili ya woga

Asante kwa kuliona hilo.Na huu ni udhaifu mkubwa sana kwa mtu anayejiita mwanaume.
Nilidhani ni wanawake tu wanaofungua ID mpya kuwakomesha wabaya wao kumbe ni hadi wanaume? Ndio maana huwa nawaambia kila siku wanaume wameisha jamani! Waliobaki ni wachache tu!

Sasa anadhani ataniweza sasa? Mimi nilishampa vyake na hua sicheleweshi maana simuogopi mtu tena kiazi kama yeye.Bora angekua smart kidogo angenipa shida.
 
Yaani hili mimi msg zake ata sisomi tena nikiona tuu napita ivi maana ni ushuzi tuu.... sasa kama anajua kwa id hiyo atakukomesha ame loba step.....
 
Jana alijibaraguza kuwapongeza sauti sol hahahha najua imemuuma sana na bado dogo mpaka aache dharau, hajui kuwa ulimi uliponza kichwa! Unaweza kuwa muimbaji mzur lakin watu wakakudiss tu, tukimweleza ukweli aache, mashabiki maandaz wanatuona wachawi, sasa yanatokea

Hahahahaa, hivi unakumbuka Davido alisema? An ungrateful stone. ....ndio hayo sasa yamenza kumfika taratiiibu.
Alikosea sana kuanzisha league na Davido ambaye kiukweli ndiye aliyemtoa hadi huko West wakamjua na hata mbele huko kwenye BET maana Davido alishafahamika huko kitambo tu.
Sasa dogo wa tandale akaona keshatusua, amsikilize nani?
Na wiki iliyopita kazidi kuchafua huku home....Can you imagine akikosa na huku itakuwaje? Lol
 
Hahahahahaaa hii siku ya leo ni nzuri sana kwangu.Ooh hakuna wa kunishusha kama mnadhani mkininyima hizo tuzo zenu mtanishusha.
Haya huko BET tena vipi? Ni nani anayemshusha huko? Jamani haya mambo sio kuyachukulia kwa pupa tu na kulewa sifa, busara ni kitu cha muhimu sana.
Haya jamani tuungane E.A nzima tuwapigie kura Sauti Soul maana wenzetu walitusapoti sana kwa Idriss kule BBA.Ndio wakati wetu sasa kuwalipa wenzetu fadhila.

Umeongea kweli tupu sifa zikizidi ni hatari kuongea hizo kauli zake na dharau wakati bado ana safari ndefu kimziki na kuongeza zaidi mafanikio. Sasa yeye ni team yake hata watu wakitoa tu ushauri ni hater wanamwonea wivu. Bora Sauti Soul wawakilishe EA this time kwa kweli kura inabidi tuwapigie warudi na tuzo.
 
Ujue Diva Beyonce wakati mwingine tunatoa ushauri tu kiroho safi jamani domo apunguze sifa hataki kusikia.Na wapambe/mashabiki wake wanazidi kumpoteza.
Huyu kijana kalewa sifa sana, kwa hatua aliyofikia anaona kama kamaliza kumbe ndio kwanza anaanza.
Halafu eti anajisifu yuko kwenye game kwa miaka mitano sasa kwahiyo hakuna asilolijua! Kweli? Wako wapi wasanii wakubwa kama R.Kelly ambao hivi sasa ni tia maji tia maji katika mziki? Ana nini cha kumzidi R.Kelly?
 
Last edited by a moderator:
Afu mumy huyu mtu nimegundua kaja na hii id coz of you maana kule ulimwita kiazi mbatata na kaja kwa ajili ya kukukomesha....ila ni mjinga kwa sababu anapambana na mtu indirect na ni dalili ya woga

Ogopa sana mtu ambaye badala ya kujibu hoja ana attack na mambo ya mtongozo.
Wanawaza kubanjuana tu muda wote wale mashabiki jamani kama wanayemshabikia vile.
Hakuna kitu kibaya kama dharau na kudis ulipotoka.
Zile tuzo za ktma d alipokea kwa kukenua mimeno yote na kulala nazo kitandani.
Leo hii anaona hazina maana.
 
Upogo wapi jamani ..huyu changu.doa ana tukera humuu

Nipooo unajua domo kachanganyikiwa sana mana juzi nilionyeshwa huko instagram katuma video inaonyesha jamaa kaingia chumvini kwa mwanamke kisha akaibuka na yale mambo mekundu. Dahh! Akaandika ujumbe kuwa " haya ndiyo tunayokutana nayo wanaume tunaopiga deki" watu wakaripot hiyo video kwa isntagram management kuwa ni inapropriate video, basi naskia akaja kuitoa, ukiona hiyo video lazima utapike na ni udhalilishaji mkubwa kwa wanawake. Jamaa boya sana
 
Ha ha ha!
Hivi ulikuaga wapi kipindi chote we mtuuu
Wajua kunipa raha.

Hahahaaa nipogo mamy
Ujue huyu mshezi nakosaga cha kumjibu pale anapo ni quote nashikwa na nyongo adi sijui natamani nimjibuje yaani.....
 
Ujue Diva Beyonce wakati mwingine tunatoa ushauri tu kiroho safi jamani domo apunguze sifa hataki kusikia.Na wapambe/mashabiki wake wanazidi kumpoteza.
Huyu kijana kalewa sifa sana, kwa hatua aliyofikia anaona kama kamaliza kumbe ndio kwanza anaanza.
Halafu eti anajisifu yuko kwenye game kwa miaka mitano sasa kwahiyo hakuna asilolijua! Kweli? Wako wapi wasanii wakubwa kama R.Kelly ambao hivi sasa ni tia maji tia maji katika mziki? Ana nini cha kumzidi R.Kelly?

Ni kweli tupu my nifah sio mda wote tupo kishabiki na hasa kwa mziki wetu Tanzania. Ila kwa vile unamkubali mtu flani ukishauri kwa nia njema watakuona we ni hater unamuonea wivu na mafanikio yake, wakati mi namuona bado ana safari ndefu.
Hilo tatizo la sifa zisizo na msingi ni tatizo kwake nakumbuka kipindi kile kashinda tuzo Nigeria na ambapo DAVIDO hakushinda nakumbuka Idriss naye alishinda BBA. Sasa domo yeye huwa anafata upepo wa mashabiki bila kupima vitu kwa umakini. Alivoona Davido kaandika statement kuwa time cheat again na ilikua nadhani utani Domo kajiingiza moja kwa zote. Misifa ya kijinga jamani ina mucost sana na kujiona yeye ni top hakuna ka mwingine na kuamua kujiongelea tu bila kufikiria side effects zake.

Hafu tatizo la kuwakashifu wanawake bila sababu limemshushia credibility sana tu Mara Leo yuko hapa kesho kule na kuanza kuwazalilisha hajui kua kwenye jamii wanawake ndo huwa wana support sana kila sector kwa wingi wao na ndo wapiga wazuri. Sasa yeye sijui ndo huwa kiki zake kuwaongelea ma ex na jamii yoyote haipendi tabia chafu za uhuni uhuni, hasa kuzalilisha wanawake eti makombo.
Kikubwa ajiangalie nyendo zake kwa makini atajishusha mwenyewe kwa matendo yake mwenyewe ana safari ndefu. Na aogope mashabiki wa kumsifia bila kumu criticize sio wote wanaompa negative comment ni haters wengine wanazichukuaga na kuzifanyia kazi hadi wanakua best.
 
Last edited by a moderator:
Nipooo unajua domo kachanganyikiwa sana mana juzi nilionyeshwa huko instagram katuma video inaonyesha jamaa kaingia chumvini kwa mwanamke kisha akaibuka na yale mambo mekundu. Dahh! Akaandika ujumbe kuwa " haya ndiyo tunayokutana nayo wanaume tunaopiga deki" watu wakaripot hiyo video kwa isntagram management kuwa ni inapropriate video, basi naskia akaja kuitoa, ukiona hiyo video lazima utapike na ni udhalilishaji mkubwa kwa wanawake. Jamaa boya sana

Kuna mshabiki mmoja wa domo anamteteaga kinoma ila kwa sasa amesema kweli kiba ndo msanii pekee anayemuumiza domo kichwa...
Na akasema kiba izi tuzo atachukua zote coz kapigiwa promo sana...
Nikamwambia ayo ni manyunyuuu na badoo ajipange sanaa
Kwa hiyo niwazi kua domo analala akuwa amesimama ana haha...Mfalme karudia ufalme wake...
Heheheiyaaaaaaaa
 
Nipooo unajua domo kachanganyikiwa sana mana juzi nilionyeshwa huko instagram katuma video inaonyesha jamaa kaingia chumvini kwa mwanamke kisha akaibuka na yale mambo mekundu. Dahh! Akaandika ujumbe kuwa " haya ndiyo tunayokutana nayo wanaume tunaopiga deki" watu wakaripot hiyo video kwa isntagram management kuwa ni inapropriate video, basi naskia akaja kuitoa, ukiona hiyo video lazima utapike na ni udhalilishaji mkubwa kwa wanawake. Jamaa boya sana

Watakuita hater!
Ile video inakera niliwah kutumiwa watsap nusu nitapike.
 
Back
Top Bottom