Hii ni zaidi ya adhabu.Na mimi kutumia website sipendi balaa.
Sasa hivi hata siipendi tena JF!
Kweli mamy ila mm japo sipati ila naenjoy coz nikiingia naangalia kweny participate naangalia zote nilizo changia kama nimejibiwa .... jaribu hiyo mbinu
Ila pia mm mtu aki niquote ujumbe unakuja kwa screen but ukienda kwet notc sikuti