Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Na vp msanii anae watia mimba n kuwaacha wanawake hapo ana wathamani c et

kama alipanda kwa uwezo wa Mungu basi atashuka pale Mola atkapoamua.. ila kampeni mavi za kina jokate na wengineo hazitamshusha.. pia yy ni mwadamu naona unamuhesabia makosa tuu utafkiri wasanii wengine wote wapo perfect... nani yupo perfect
 
Mi shabiki damu wa diamond, na ukweli usiopingika, huyu jamaa upande wa kuchuja kipi aongee na kipi asiongee ni tatizo kubwa saana kwake na kusema kweli inamcost saana mpaka hivi sasa, Mfano hata kwa gazeti hilo la juzi kusema jokate ni makombo "hata kama hakuongea wamensingizia, ni ngumu mtu kuamini hivyo ukilinganisha na tabia aliyozoeleka nayo"

Kikubwa zaidi siku zote wanawake wana nguvu kubwa saana ya influence, hata ukiangalia tu kwenye mitandao ya kijamii huwezi kufananisha na wanaume, So linapokuja suala la kuwa tofauti nao lazima usumbuke saana... Nadhani akizidi kupata fundisho in a hard way kama kukosa tuzo za kili hiviii na alikiba kuzidi kufanya vizuri inaweza ikaanza mbadilisha... ✌✌✌ one love Team kiba

dah ila maneno makavu mpunguze kidogo sio poa
 
Hahahahaaa naona hadi nyie mmechanganyikiwa kama domo wenu hadi mnachambana wenyewe kwa wenyewe!
Maji yamefika kwa shingo sasa.
 
Mi shabiki damu wa diamond, na ukweli usiopingika, huyu jamaa upande wa kuchuja kipi aongee na kipi asiongee ni tatizo kubwa saana kwake na kusema kweli inamcost saana mpaka hivi sasa, Mfano hata kwa gazeti hilo la juzi kusema jokate ni makombo "hata kama hakuongea wamensingizia, ni ngumu mtu kuamini hivyo ukilinganisha na tabia aliyozoeleka nayo"

Kikubwa zaidi siku zote wanawake wana nguvu kubwa saana ya influence, hata ukiangalia tu kwenye mitandao ya kijamii huwezi kufananisha na wanaume, So linapokuja suala la kuwa tofauti nao lazima usumbuke saana... Nadhani akizidi kupata fundisho in a hard way kama kukosa tuzo za kili hiviii na alikiba kuzidi kufanya vizuri inaweza ikaanza mbadilisha... ✌✌✌ one love Team kiba

dah ila maneno makavu mpunguze kidogo sio poa

Umemaliza yote Kidingi. Discipline ni kitu kizuri sana, na kama msanii akilikosa hilo basi anaweza kuharibu career yake.
Mimi ni mpenzi wa Korean Drama.Najifunza mambo mengi sana kutoka kwa wenzetu na hasa kuhusu masuper star wao wanavyojiepusha na scandal kulinda career zao.

Hayo maneno makavu kama yapi? Haya ambayo hua tunayasema yana ukweli ndani yake.Hizi ni challenges tu ambazo mtu mwenye malengo anazitumia katika kuyafikia mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
Mi shabiki damu wa diamond, na ukweli usiopingika, huyu jamaa upande wa kuchuja kipi aongee na kipi asiongee ni tatizo kubwa saana kwake na kusema kweli inamcost saana mpaka hivi sasa, Mfano hata kwa gazeti hilo la juzi kusema jokate ni makombo "hata kama hakuongea wamensingizia, ni ngumu mtu kuamini hivyo ukilinganisha na tabia aliyozoeleka nayo"

Kikubwa zaidi siku zote wanawake wana nguvu kubwa saana ya influence, hata ukiangalia tu kwenye mitandao ya kijamii huwezi kufananisha na wanaume, So linapokuja suala la kuwa tofauti nao lazima usumbuke saana... Nadhani akizidi kupata fundisho in a hard way kama kukosa tuzo za kili hiviii na alikiba kuzidi kufanya vizuri inaweza ikaanza mbadilisha... ✌✌✌ one love Team kiba

dah ila maneno makavu mpunguze kidogo sio poa

Maneno makavu yapi tena mkuu?
 
Lets wait and see n izo promo zenu et mnachukua zoteee diamond ndo aliweza kuchukua 7 hamna atakae Weza tena

Umebanwa na uharo.. ebu kaharie uko usituchafulie hali ya hew humu ndani....
 
kama alipanda kwa uwezo wa Mungu basi atashuka pale Mola atkapoamua.. ila kampeni mavi za kina jokate na wengineo hazitamshusha.. pia yy ni mwadamu naona unamuhesabia makosa tuu utafkiri wasanii wengine wote wapo perfect... nani yupo perfect

Mbona mnapagawa sana jokate akimkampenia kiba? Mlitaka amkampenie nani. Adui mwombee njaa, au huo usemi hauujui? Hahahahha jamani wivu ni kidondA
 
But whyyyyyyy
 
Attachments

  • 1432135666734.jpg
    1432135666734.jpg
    36.7 KB · Views: 86
But whyyyyyyy

Kiba na handsom boy kinomeeeerr yaan...twende sasa kwa domo utazani mnyama pori aliyetoroka forest...
Cheki kiba ana rangi ya ukweli yaan... dimpoz mdomo mzuri unaovutia na ndo maana ana sauti nzuri kuliko wasanii wote tanzania....ana body iliyo poa sio kama ya huyo awala wako mond....
Kwa hiyo kwa hiyo pic ulikuwa unataka usemaje? Bosi wako kaishiwa umeanza kumpigia promo kiba eee?
Mtaalamu wa new id..... kweli sisi team kiba ni kibok yako
 
Back
Top Bottom