Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Za online ndio tumsubiri Deo akiweza atatuelekeza.
Wewe acha tu nakuambia hapa nilipo nimedata kusikia kua kupiga kura kwa kutumia WhatsApp ni mara moja tu.

Ngoja aje atuelekeze tuhamie kwenye email...
 
Mbona kama sijakuelewa? Kwahiyo kama mimi nimepiga kura kwenye categories zote alizopata Kiba ndio basi tena sitoweza kumpigia kura tena kesho?

Haya fanya mpango utuletee jinsi ya kuvote online.

Ndio, ngoja nikipata info nitaleta
 
WatsApp mbona wana maswali hivyo?
Mpaka tarehe ya kuzaliwa? Duuuuh!!!!

Halafu hapo kwenye sms hivi area code zingine zinakubali kweli au mpaka wenye +255 za Tz tu?

Nakuambia maswali kibaooo!
Ila ndio yaleyale tu hata kule kwenye tuzo za watu maswali yapo tena mengi zaidi ya huku KTMA.

Hapo kwenye sms sidhani kama kuna tatizo.Tuma code kwenda 15415 ukiwa popote.
 
Nakuambia maswali kibaooo!
Ila ndio yaleyale tu hata kule kwenye tuzo za watu maswali yapo tena mengi zaidi ya huku KTMA.

Hapo kwenye sma sidhani kama kuna tatizo.Tuma code kwenda 15415 ukiwa popote.

Khaaaaaaa! Wanatuchosha bwana, ila for the sake of kiba i'll endure that
 
Khaaaaaaa! Wanatuchosha bwana, ila for the sake of kiba i'll endure that

Meona eeeh?Kiba must be proud of us!
Ndio maana yule chizi wa juzi alivyosema sisi ni maneno matupu hatumsapoti Kiba aliniudhi!

Ila itakuwaje sasa jamani? Maana jana nimempigia kura King categories zote saba ila leo nimejaribu hawaruhusu kurudia.
Online nako mizinguo!
 
Mie huwa nawapuuza tu km wapuuzi wengine, kumbe kuna na online? Mie ilipokataa nikapiga kwa sms, nishapiga mpaka basi yaani
 
Mie huwa nawapuuza tu km wapuuzi wengine, kumbe kuna na online? Mie ilipokataa nikapiga kwa sms, nishapiga mpaka basi yaani

Yeah, ipo lakini iko complicated sana.Ukiona nifah kashindwa kumpigia kura Kiba kwa process hiyo basi ujue hali ni tete...lol
Vipi sms wanachaji sh ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Nakuambia maswali kibaooo!
Ila ndio yaleyale tu hata kule kwenye tuzo za watu maswali yapo tena mengi zaidi ya huku KTMA.

Hapo kwenye sma sidhani kama kuna tatizo.Tuma code kwenda 15415 ukiwa popote.

WhatsApp sijui imekuwaje sms haziendi wala hakuna response yeyote.
The same na msg za kawaida.....ila nitapiga tu labda sio mimi aiseee
 
WhatsApp sijui imekuwaje sms haziendi wala hakuna response yeyote.
The same na msg za kawaida.....ila nitapiga tu labda sio mimi aiseee

Hahaha subiri tu kuna wakazi KTMA wanazingua sana.
Ngoja nikaendelee kupiga kule kwa tuzo za watu wako fresh sana.
 
Yeah, ipo lakini iko complicated sana.Ukiona nifah kashindwa kumpigia kura Kiba kwa process hiyo basi ujue hali ni tete...lol
Vipi sms wanachaji sh ngapi?

Mamii cdhani hata km inafika sh100 maana mie nimepiga mara nyingi kweli hata hela haiishi, itakuwa wanakata kidogo mno
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom