Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Have a good night ladies. ..
If God wishes. ...tomorrow's 😉😉
 
Hahahaaa ndio hivyo mwenzangu ukiona id mpya ujue watu wako kazini!
Kuna watu wajinga na wakosa kazi sana!

Mi niliona majina ambayo siyafahamu ila ni expert members, kwa vile ilikuwa ni ile siku ya story zile za MMU nikajua labda umbea ndo umewaleta japo niliwakaushia tu. Kumbe kuna kampango kengine mweeeh!!!
 
Wewe MADAM T huyo Zari kawakomesha wewe na mumeo kama unaye lakini.
Mimi hanitishi wala hanipunguzii chochote mjini hapa haniweki yeye.

Kumbe Ali Kiba anakutisha na kukupunguzia chochote kitu! Pole na uchovu wote alionao!
 
Last edited by a moderator:
Mi niliona majina ambayo siyafahamu ila ni expert members, kwa vile ilikuwa ni ile siku ya story zile za MMU nikajua labda umbea ndo umewaleta japo niliwakaushia tu. Kumbe kuna kampango kengine mweeeh!!!

Kampango kabambe, wanahahaje sasa?? Huu ushabiki tu watu twajipa raha kwa vile tulivyochagua kuvipenda sasa i wonder watu wanafurukutwa roho, shida zote za nn??
 
Ha hahaaaa litumbo kubwa ka kiroba cha njegere in Nifas voice kanishangaza kwa kweli tumbo lina vupingili kuliko hata mua .Sishangai katumia tumbo hill baya kufikiria zaidi ya kichwa.

Hahahaaahaa jaman wew ni balaaa
Tumbo kama kiroba.....safi sana
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu watu wengine sijui wakoje wivu wa nini sasa hapo kuuona labda kwa kipi alicho nacho za ziada kinachowafanya wengine wasitumie oxygen labda.Hizi zero IQ kazi yao huwa ni kuwaza watu kutofautiana mitazamo ni chuki. Kama anampenda akamlambe nyaa yake atuwaache sio na Uzi wetu murua.

Achana nae huyo mamie atakuwa ni housegirl wa zari sasa anazani kila mahali zari ni bosi.....
 
Kumbe Ali Kiba anakutisha na kukupunguzia chochote kitu! Pole na uchovu wote alionao!

Iliiii naloooo.... ebu kwenda huko yasio kuhusu achana nayo....kilichokuleta huku nini?
Kubwa jinga..... nyooooooo
 
Kumbe Ali Kiba anakutisha na kukupunguzia chochote kitu! Pole na uchovu wote alionao!

Sikiliza, mimi namkubali Kiba kutokana na music wake anaoufanya....period!
Usidhani niko sawa na wewe unayemuabudu huyo Zari,fanya yako mwanamke nawe usifiwe.Kama huna la kufanya basi endelea kumuabudu huyo Zari ila uishie huko huko sio utuletee habari zako huku.
 
Na sijui ni kiherehere gani kilimleta huku, watu wengine bwana, aende hukoooo, hizo nyuzi za zari hakuziona akamalizie stress zake!! Alaaaaaaah!
 
Kampango kabambe, wanahahaje sasa?? Huu ushabiki tu watu twajipa raha kwa vile tulivyochagua kuvipenda sasa i wonder watu wanafurukutwa roho, shida zote za nn??

Banangeeeee!!!!
Mi sikulijua hili.

Wanashangaza!!
 
Back
Top Bottom