Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani naona watu wanaulizia sana jinsi ya kumpigia kura King Kiba kwenye tuzo za watu.Pigeni kupitia
www.tuzozawatu.com
Vote as much as you can kuhakikisha King anaibuka mshindi.

Kill music wakianza kuruhusu kupiga kura nitakuja kuwaelekeza jinsi ya kupiga pia.
1 ♥ to all Kiba fans.
 
Viol ushapiga kura?
 
Last edited by a moderator:
duh mtangazaji anayependwa nashindwa nafsi inapambana,wa ukweli Milard ayo ila nampenda Maryam kitosi

We hebu endelea mpaka umfikie kiba bwana, hayo mengine utashauriana na nafsi yako baadae
 
Back
Top Bottom