RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
thubutuuuu yake
Diamond ndo anaongozaa
thubutuuuu yake
Chukua hii kutoka kwa Rick Rose:watu tunazungumzia pesa we unazungumzia upuuzi. kama haikuumi iweke kiinglish uone inavyo sound vizuri.hivi hapa bongoland kuna msanii gani wa bongo fleva ana sauti nzuri kama ya king kiba? kama una mfahamu msanii yeyote mtaje hapa.
Diamond ndo anaongozaa
usisahau bundle la kujiunga nililowaonesha hapo juu maana ni la wajanja wa mjini alifanyiwi promo ni kimyakimya, then ndio unaweka na buku mbili unajiunga na yatosha ya wiki kwa ajili ya airtime dakika 34 na unapata na mb70 na chance ya kuwin Toyota IST.
Haya poa.
Hahahaaa sikuwezi atoto! Kumbe umechelewa kurepy umeenda kupekua huko weee...na kwa maelezo haya ni dhahiri umeshajua!
Ndio hivyo tena........
Haya poa.
Hujaleta mrejesho bado, au umezoea mateso ya kampuni za wanyonyaji? makelele kibao na Joti wao wakati Kilosa tu kupata mtandao wao ni hekaheka.
Haya Matola mrejesho ni huu hapa...Nimeshafanya kweli hivi ninavyocomment hapa nipo ndani ya Airtel! Eeh bwana net iko full no stress.Hiki kimeo cha tigo itabidi nikitafutie kimeo chake sikitaki tena...lol
Najuta kwanini niliiacha airtel 2 years ago!
airtel ndo mpango mzima
Nimekubali mama.Naperuzi kama sina akili vile!
Tigo mizinguo jamani acha tu!
umeona eeeehh!!
Acha tu.Nikiwa ndani nilikua na angle zangu kabisa za kuvizia net.Yaani nisipokaa kwenye hiyo angle basi net hakunaaaa...lol
Ngoja nikatafute umbea sehemu naona wala hatuitani! Ms.Lincoln mbaya wewe?
Na mb800 umeweka? au unatumia mb70 za Yatosha? maana kuna mazuzu humu eti mtu ukiwa bize wanadhani unaishi mb8 kama mikundu yao.
Diamond ndo anaongozaa