Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
hata mi nlijua hizi taarifa zitavuja make zimeekwa kwenye sufuria lolilotoboka
hahahaha kwl kabisahata mi nlijua hizi taarifa zitavuja make zimeekwa kwenye sufuria lolilotoboka
Hivi ni kiumbwa au mnyama gani kiba?
hata mi nlijua hizi taarifa zitavuja make zimeekwa kwenye sufuria lolilotoboka
mi sijakuuliza ye ni nanihuyu ni msanii anayejiandaa kufanya colabo na chris brown wa marekani,only K4REAL
hata mi nlijua hizi taarifa zitavuja make zimeekwa kwenye sufuria lolilotoboka
ha ha ha umeziona taarifa zimevuja???Hahaha yani wewe ni tatizo ujue, nimecheka kwa nguvu mbele za watu kama taahira vile
ha ha ha umeziona taarifa zimevuja???
ha ha ha umefanya jambo la mboleaHahaha Nipo nazikinga kwenye sufuria lingine ili zisipotee
Hivi ni kiumbwa au mnyama gani kiba?
Jiheshimu
Utaheshimika.Fake Id isikufanye kuwa poyoyo kiasi cha kumwita binadam mwenzio mbwa.Get a life.
huyu ni msanii anayejiandaa kufanya colabo na chris brown wa marekani,only K4REAL
Jiheshimu
Utaheshimika.Fake Id isikufanye kuwa poyoyo kiasi cha kumwita binadam mwenzio mbwa.Get a life.
huyu ni mfalme hapa bongo.THE KING KIBA 4 REAL
Choko wewe, Diamond is the best artist!
Na mb800 umeweka? au unatumia mb70 za Yatosha? maana kuna mazuzu humu eti mtu ukiwa bize wanadhani unaishi mb8 kama mikundu yao.