Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kuna mjinga fulani anasema Kiba kabuma, hana mafanikio! Aisee kuna watu wa ajabu sana.Hamjui hata Kiba mwenyewe zaidi ya kumsikia tu huku JF ila anavyoongea ni kama mhasibu wake!

Alikosa la kusema mfano yule voda fasta nimekuta kakomenti chuki tupu sehemu Fulani ila nikaona ngoja nipite tu
 
Kuna mjinga fulani anasema Kiba kabuma, hana mafanikio! Aisee kuna watu wa ajabu sana.Hamjui hata Kiba mwenyewe zaidi ya kumsikia tu huku JF ila anavyoongea ni kama mhasibu wake!

Hahahaaa! Na kiba anawewesesha hatari, haipiti cku hawajamtaja utadhani ndie msanii pekee tz, jibu ni rahisi tu, he is the best
 
Mmmh. .tusubiri itoke tu ila huu mkwaju wa king alioshirikishwa na tundaman ni balaa. ..ally hafai
 
JJamaniii mi nataka n'sauleee
Kama mapenzi ghorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wan'onitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'a nyang'aaaa!!!

Mi penda sana this song hasa verse ya kwanza!
 
JJamaniii mi nataka n'sauleee
Kama mapenzi ghorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wan'onitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'a nyang'aaaa!!!

Mi penda sana this song hasa verse ya kwanza!

Hayaaa chekecha cheketuaaaa.....
 
Nikushtue kwenye nini mpenzi?Kama ni huo wimbo mpya wa Tundaman ft. King bado sijausikia mimi naujua ule wa msambinungwa tu ambako King alifunika vibaya sana.

King mbayaaa ukimshirikisha anakupoteza kabisaaaa
 
Tundaman tena??? Kheee!!!
Anyways......kwakuwa umesema King ndo kashirikishwa mmmmh haya!
ngoma ya tunda ila balaa alilofanya king hata kama tundaman humuelewi lazma ulikubali hilo pini.....

''baby baby baby''
''toka shule baby''
hatuachani baby''
''koko koko raha,ukitingisha naona raha''
''tena wale madada shadah''

king K huyo katika hilo goma analalamika....personally kila nikipata mda naisikiliza!huyo producer ndo msiba kafanya katika hilo beat
 
Back
Top Bottom