Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,362
- 176,183
Oooh, hapo sawa.Ila mimi ni dada wa King bwana.Kiba apate wapi mtoto mkubwa kama mimi?..lol
Hata ungekuwa bibi yake still wewe ni mtoto wa ufalmeni, teh
Oooh, hapo sawa.Ila mimi ni dada wa King bwana.Kiba apate wapi mtoto mkubwa kama mimi?..lol
Hahahaaa, Nakuambia hadi wakaniita nikawapotezea tu.
Kuna mmoja nilibishana nae nikakoswa na ban mpaka leo napitaga tu
Chekecha chekecha cheketour hahaha tunakimbiza mbaya
Hahahaaa, mimi kuna mwendawazimu mmoja alikua ananichokoza siku hizi simuoni sijui kapewa LB?
Eti tour Namanga ... Hivi msanii gani tena yupo lagos
King & queen watakinukisha
King & queen watakinukisha
Huu mwaka mzuri sana kwa King wetu jamani!
Huu mwaka mzuri sana kwa King wetu jamani!
Na kweli aiseee, king na queen, tena ule wimbo wao ndio utanoga now as jide ni single girl, teh teh
Muache apige kazi maana he is back for real
Anapiga hela ili wajinga wachukie
Ule wimbo mtamu sana
Mungu ambariki kila siku
Sana tu, asopenda ajitolee kufa kama mwafulani alojitoa akili(kama kawaida) na akaumbuka kabaki kutapatapa tu
Mwafulani ???