Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,323
huyo kiba ni mwanamuziki.....wenzake katika misafara yao ya show kundi la watu kumi na kitu unakuta lina kaka mtu,shemeji,mama,mameneja watatu,mganga humuhumo kwenye msafara,wapiga picha na wacheza show saba!yaani msafara unajaa watu ambao si wa mziki.......ila yeye sasa mfalme msafara wake dah!sijui mpiga guitar,mpiga drum,fundi mitambo sijui nani yaani msafara full watu wa mziki!...........anachokifanya kiba sasa baada ya kuona watu wameelewa nini maana ya bongo flavour kwa somo alilolitoa kwa kutoa ngoma kadhaa,sasa ameanza kutoa somo la nini maana ya mziki na mwanamuziki kwa vitendo anavyovifanya!........akimaliza somo hilo ataendelea na somo la nini maana ya mwanamuziki wa kimaifa kwa vitendo pia!........yeye siyo mtu wa maneno ni vitendo tu
Hakika Muuza Sura umeifanya wiki yangu ianze vizuri sana kwa habari hii nzito na ya ukweli.
Can't wait.........