Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Matukio kwa picha
 
Attachments

  • 1425808313268.jpg
    1425808313268.jpg
    92.3 KB · Views: 85
  • 1425808390860.jpg
    1425808390860.jpg
    98.3 KB · Views: 80
Abdu young king alikuwepo
 
Attachments

  • 1425809447931.jpg
    1425809447931.jpg
    69.1 KB · Views: 101
  • 1425809504444.jpg
    1425809504444.jpg
    45.3 KB · Views: 95
hebu tudadavulie pls.

sorry soldier!nilikwa mishe ila hope picha utakuwa umepata!...asikuambie mtu hamna sehemu ngumu raia kuelewa kama arusha!king kiba kweli hatari na kaeleweka!....ujue show yake ni tripple A uwanjani na palitapika siyo garden ya hotel kama aliyopiga yule jamaa mwingine kwenye show yake ya arusha ambayo ukilipa elfu 50 na msosi unapewa!kwahiyo kuna raia walifata msosi ila kwa kiba watu walifata mziki!....huo ndo utofauti
 
King atabaki kuwa king tu
 
huyo kiba ni mwanamuziki.....wenzake katika misafara yao ya show kundi la watu kumi na kitu unakuta lina kaka mtu,shemeji,mama,mameneja watatu,mganga humuhumo kwenye msafara,wapiga picha na wacheza show saba!yaani msafara unajaa watu ambao si wa mziki.......ila yeye sasa mfalme msafara wake dah!sijui mpiga guitar,mpiga drum,fundi mitambo sijui nani yaani msafara full watu wa mziki!...........anachokifanya kiba sasa baada ya kuona watu wameelewa nini maana ya bongo flavour kwa somo alilolitoa kwa kutoa ngoma kadhaa,sasa ameanza kutoa somo la nini maana ya mziki na mwanamuziki kwa vitendo anavyovifanya!........akimaliza somo hilo ataendelea na somo la nini maana ya mwanamuziki wa kimaifa kwa vitendo pia!........yeye siyo mtu wa maneno ni vitendo tu
 
Mhh sisi yetu macho. Ulituambia anakuja na video amazing haijawai tokea, tukaiona. Ukatuambia anakuja na wimbo mzuri ajabu, tumeisikia hiyo cheketua. Leo unatuambia alifanya show balaa pale triple A ingawa tulikuwepo, ila wacha tukusikilize wewe mkuu. Poa tunasubiria vingine vinavyokuja,haswa hilo la kimataifa.
 
Back
Top Bottom