Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Umepotea mwe! Umeusikia wimbo lakini?
sijausikia bado.. unaitwaje??
Umepotea mwe! Umeusikia wimbo lakini?
miss uu guyz
Yani huyu akija kwetu hana haja ya kutoa mahali, maana yeye mwenyewe ni mahali tosha....
sijausikia bado.. unaitwaje??
Ms.Lincoln device zangu hazina nyimbo, sio tu za kibongo hata za mbele.. Zaidi ya hits za G-Unit na other old school sina zingine. Hata za huyo Diamond sina. Nikijisikia kuwasikiliza wabongo huwa naingia youtube tu, mbaya zaidi radio sisikilizi nyingine zaidi ya Radio One. Hiyo nyimbo mpya kama ipo youtube nipe linkHaa...wewe acha izo si huo unaousikiliza saa izi...
Ms.Lincoln device zangu hazina nyimbo, sio tu za kibongo hata za mbele.. Zaidi ya hits za G-Unit na other old school sina zingine. Hata za huyo Diamond sina. Nikijisikia kuwasikiliza wabongo huwa naingia youtube tu, mbaya zaidi radio sisikilizi nyingine zaidi ya Radio One. Hiyo nyimbo mpya kama ipo youtube nipe link
Sasa kama huna hata nyimbo za diamond why huwa unasema yeye ni kiboko wa King kiba huwa unasimuliwa? Nenda youtube search cheketua utaikuta huko.Nakuapia jinsi nyimbo ilivo poa this time utakufa kweli.
Hahahaaa, hapo kwenye picha mbili ni Le Mutuz alivyokua kijana au ni nani huyo?
Nimeshakwambia naangalia nyimbo zao youtube.. au mpaka usikilize radioni ndio nijue nani ni bora?? Alafu pia ubora wa mtu unapimwa kwa achievements zake, in last 3 or 4 years Diamond kamzidi kila kitu Ally Kiba..
nkyaH na Steph Curry unamfahamu Ostrich?
Duuuuuuuuuuh
nkyaH na Steph Curry unamfahamu Ostrich?
Hapa naona nye.ge za usiku ndo zinawahangaisha tu.
Ni kweli kabisa, kama zilivokubana wewe! Huoni vibaya kumtamani kijana mwenzio ashughulike na haja zako
hivi kama huu uzi unakukwaza na kukukera unafuata nn humu?? viherehere vingine bwana na id zenu rundo!! hebu mtupishe