Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

khaaaaaah!! Kiba anawashika watu pabayaaaaaaaa!
 
Eeeewwwwww asante kwa kuliona hilo and karibu sana.
Binafsi mtu anaeuponda huu wimbo ningemshauri ajipe muda kwanza taratibu atauona utamu wake.

kwani unadhani hawajui utamu wake??? wanauponda midomoni ila mioyoni wanauimba, chuki zao binafsi tu ndio zinawatesa and u know the reason as to why no mata wht lazima wauponde, teh teh teh
 
Back
Top Bottom